Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,259
- 1,389
mkuu namm nimeipata leo ila namvutia kasi nikamlie vyombo usiku nimpigie sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu.rami>>> LAMI
Sent from my iDevice using Tapatalk
poa mkuuSawa mkuu.
mkuu namm nimeipata leo ila namvutia kasi nikamlie vyombo usiku nimpigie sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu anatuma sms kwenye namba yangu,nakumbuka alishawahi kunitumia sms kupata nafasi za jkt akajiita "captain Hinju wa Mafinga".Kuna siku nyingine akatuma sms kuhusu Uhamisho tamisemi "HABARI NIMEPATA MTU WA KUNISAIDIA UHAMISHO NAAMIA MWANZA NISHAFANYA MCHAKATO TAMISEMI NASUBIRIA KIBALI TU MIMI MWALIMU EZE WA JF"
Jana tena kaja na hizi:
"HABARI SHEMEJI YANGU,NAMBA ZA YULE MGANGA ALIENISAIDIA MIMI KWENYE MALI ZANGU NA BIASHARA ZANGU NIMEZIPATA HIZI APA 0742 007 004 MPIGIE" hii sms alinitumia saa 6:45 Mchana,Leo tena wa saa 8:43 usiku wa manane akatuma sms hii "SHEMEJI NAMBA ZA YULE MGANGA ALIYE NISAIDIA KATIKA BIASHARA ZANGU NA KURUDISHWA KAZINI NIMEZIPATA NI 0764 514 893 MPIGIE ATAKUSAIDIA"
Najaribu kumpigia simu yake haipokelewi sasa namuambia aache Useingelema ataumia asinione mi boya najua atakua anapita sana humu jf. Pum.bavu kabisa.
Hawa jamaa matapeli, mimi walinitumia kuhus ishu za biashara mara kila umkapo asubuhi jua linapochomoza kibiashara upata pesa, au ndo ugumu wa maisha.Kumekuwa na utapeli ambao mtu hutuma sms kujifanya kumsifia mganga wake wa kienyeji akishukuru kupata mari au kwa wanawake akisifiwa kuweka ndoa vizur mwanzo niliaanza kupata sms mimi nikajuwa aiza nimtu alikuwa akikosea sasa sms izo zimeanza kuingia kwenye simu ya mke wangu zikiwa na ulagai wamaswara ya ndoa je nawewe umesha pata sms kama hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumekuwa na utapeli ambao mtu hutuma sms kujifanya kumsifia mganga wake wa kienyeji akishukuru kupata mari au kwa wanawake akisifiwa kuweka ndoa vizur mwanzo niliaanza kupata sms mimi nikajuwa aiza nimtu alikuwa akikosea sasa sms izo zimeanza kuingia kwenye simu ya mke wangu zikiwa na ulagai wamaswara ya ndoa je nawewe umesha pata sms kama hizo
Sent using Jamii Forums mobile app