Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

Kwa hiyo TCRA huo utapeli hawauoni?au akili zao na macho ziko kwa wale wote wanaokosoa wakubwa wao tu?
 
220ab0507f667de35fb559e7f1989c9c.jpg
 
Nimetumiwa hizo kibao. Ni Matapeli wakubwa. Nataka siku moja nile nao sahani MOJA.
 
Wakuu ni kama Mara 3 hivi napokea meseji kwenye simu yangu inayoelezea masuala ya dawa za kiganga hasa mambo ya "Ndagu" na zindiko la biashara.

Meseji ya kwanza nliyowahi kutumiwa ilikua inasema hivi:-

"Mjukuu wa KISIRE naona biashara ya mabasi sasa inatosha umeshanunua mabasi mengi, sasa uje tena sumbawanga nikupe dawa ya kusafisha nyota na ya ndagu Mimi ni babu yako wa Sumbawanga"

Leo nimetumiwa hii:-

" Ile Dawa Ya Kusafisha nyota Yako Nazindiko Lamalizako Tayali Nimekamilisha Mjuku Wang Uje Uchukue Nashukulu Pia Kama Ndagu Imeaza Kufanya Kazi"

Je hawa ni matapeli!!? Kwa anaejua suala hili atuambie.

TCRA na Serikali wanatulindaje wananchi? Kwanini namba zimesajiliwa na watu wanaendelea kufanya uhalifu huu?

Sampuli za SMS na namba kadhaa zinazotumiwa:

View attachment 624259
View attachment 624261
View attachment 624262
View attachment 624263
View attachment 624264
View attachment 624265
View attachment 624266
duu mkuu kumbe wengi wanatumiwa hii kitu,matapeli hao mkuu
 
Habarini, napenda niulize hawa watu wanaotutumia SMS kama hizi namba zetu huwa wanazipata wapi??

Inakera sana mtu unaweza fikiria ni SMS ya pesa imeingia kumbe ni hawa matapeli
6e23f6f3983a00bb71332300b26dda0d.jpg


Hiyo namba hiyo ya halotel inakera sana tuwe macho na hawa wahuni
 
Habarini, napenda niulize hawa watu wanaotutumia SMS kama hizi namba zetu huwa wanazipata wapi??

Inakera sana mtu unaweza fikiria ni SMS ya pesa imeingia kumbe ni hawa matapeli
6e23f6f3983a00bb71332300b26dda0d.jpg


Hiyo namba hiyo ya halotel inakera sana tuwe macho na hawa wahuni
Nyingine hiyo hapo,mi huwa nawaambia dawa yangu ya utajiri ni tigo yako yaani nikiingiza dushe basi
 

Attachments

  • Screenshot_20171201-092330.png
    Screenshot_20171201-092330.png
    16.9 KB · Views: 108
Back
Top Bottom