Huyu Bwana mdogo bwana ni mojawapo wa mafisadi wadogo kwenye nchi hii. Mimi sina ubaguzi wa rangi ila kwa kweli hawa watu wenye ngozi ambayo sio nyeusi hwana huruma kabisa na nchi hii.. Anza kuhesabu kila kona utakuta watu wenye rangi fulani ndio wanaongoza kwa kuwapa rushwa wakubwa wa nchi hii. Kama mtakumbuka Mkapa alivyoingia ikulu alisema hataki urafiki na watu wa rangi ile, sio kwamba alikuwa anawabagua bali alijua ni watu hatari sana. Angalia deal zote kubwa kwenye nchi hii name it.. Radar, Ndege ya Rais, Richmond, Dowans, Kwenye majumba yetu ya NHC, utaona ukweli.
Anaempa kiburi huyu bwana mdogo ni Utawala wa nchi hii. Simple
Anaempa kiburi huyu bwana mdogo ni Utawala wa nchi hii. Simple