Tatizo la viongozi wa nchi hii ni elimu, kiburi au dharau?

Adam Manyama

Member
Feb 2, 2015
44
54
Nimekaa na kutafakari na hadi muda huu sijapata jibu sahihi. Baada tu ya mwenyekiti wa CHADEMA kutangaza maandamano th 24/01/2024, Ni kiongozi wa ngazi ya mkoa (mkuu wa mkoa) anaamuru vikosi vya ulinzi kufanya usafi siku hiyo. Je nani ni amri jeshi wa nchi hii?.

Kumbe shida siyo katiba tu bali ni kiburi ama dharahu kwa hao wateule. Nadhani tatizo liko kwetu watawaliwa. Kumbe Rais wa kenya muda huo Moi. alikuwa sahihi. Alimwambia Mwl Nyelele, nanukuu. Mimi natawala wakenya wanao jitambua. Leo nikiongeza kodi kwenye kiberiti sent 5, Wakenya wataoji kwanini nimeongeza. Lakini wewe ukaongeza sh 50 kwenye kiberiti, watanzania watashangilia na kukusifia.

Kama siyo kweli ni watanzania wangapi waneisikia hiyo habari ya mkuu wa mkoa na kutoa yao ya moyoni?. Hii ndiyo Tanzania.
 
Back
Top Bottom