MIUNDOMBINU
JF-Expert Member
- Apr 14, 2010
- 465
- 96
MWENYEKITI Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, ametunukiwa tuzo ya dunia ya uongozi kutokana na mchango wake kwa jamii katika jitihada za kuondoa umaskini na kusaidia makundi mbalimbali ya wasiojiweza.
source: Mengi atunukiwa tuzo za kimataifa za kusaidia jamii
source: Mengi atunukiwa tuzo za kimataifa za kusaidia jamii