pole sana mzee mengi ila haya ni mapito na mungu alikuwa nawe na ndio maana mafisadi wanaendelea kushindwa na mungu wetu mwenye nguvu anawaumbua mchana kweupe.halafu leo hii mtu anasimama mbele ya umati wa watanzania masikini wanyonge anamnadi fisadi kwamba anafaa ashindwe katika jina la yesu hatufai kabisa wala hatumwihitaji tena .hii inaonyesha ni kwa jinsi gani hata chama tawala kitakavyotumia mabavu kuiba kura hili limetudhihirishia wazi kabisa hata ile issue ya KIJANA WETU JERRY MURO ALIBAMBIKIZWA MAFISADI MUOGOPENI MUNGU MAANA IPO SIKU MTATAKA KUFANYA HAYA NA HAMTAWEZA TENA .KIKWETE KAZI KWAKO SASA NA SERIKALI YAKO YA MAFISADI
usinikumbushe jerry muro nikati ya watangazaji ambao nilikuwa nawapenda saana, mafisadi hawa nchi inanuka rushwa hii!
vyote ulivyonavyo si mali yako umepewa na mungu na vitumie kwa kumuenzi yeye daima,radio,tv,magazeti,ulikuwa kimya mzee hadi jana ulipowakumbusha watz story ya mafisadi papa na uharamia wao,karibu mzee mengi tena kwenye uwanja wetu wa mapambano kuelekea uhuru wa kweli wa watz,usigeuke nyuma kwani utakuwa jiwe la chumvi,tumevipiga vita vilivyo vizuri,mwendo tunakaribia kuumaliza huku tukilinda imani kwa watz,pamoja tutashinda
Anyeumia of course ni Mtanzania wa kawaida...
Kama hawa jamaa wanaweza kujifanyia kila wanachotaka, basi destiny yetu inaamuliwa na hao watu!...!
Nawashangaa wachangiaji wenzetu hapa ambao hawaumizwi na mbinu za hawa mafisadi waasia na waarabu kuwanunua hadi watendaji wa juu kabisa kwenye serikali yetu!...Ni jambo baya sana na la kusikitisha!
Huo uthubutu wa Mengi tu ni jambo kubwa sana...Kwanini tusianze kwa kutambua hilo?
In any way, mimi namu'admire sana Mzee Mengi, maana ndiye MWANAUME peke yake Tanzania hii anayeweza kuwajuza watanzania juu ya nguvu ya hawa wageni, hasa watumiapo fedha kutuibiaa, kutuhujumu kutoka kila angle, na kutufanya tuendelee kuwaabudu kila iitwayo siku!!
Long Live Mzee!
Pia ya yawezekana mzee mengi ameuziwa habari za uwongo.
Kwanza haiwezikani mtu kusafirisha dawa ya kulevya kupeleka india.ingekuwa huyo mwanae anarudi kutoka india ndio akawekewa hayo madawa ingeleta maana.
Pili vipi aweze kujuwa hao maofisa wamelipwa kwani hapo kuna mtowaji na mpokeaji tu.
Tatu kwani hakumtaja huyo alio andaa huo mpango.