Meneja mkuu wa UDA akutana na waandishi wa habari ukumbi wa maelezo

Hebu tuwe positive thinkers, meneja kumiliki ghorofa na prado nayo ni issue? Huo ni uvivu wa kufikiri na kufanya kazi. Issue hapa ni ufisadi wake uwekwe mezani, vinginevyo tunakuwa na wivu mzee Mkapa sikumbuki aliuitaje.
hiyo prado nyumba mbona vitu vya kawaida ambavyo kuna mwalimu wa sekondari ninaye mfahamu mimi anamiliki ivyo huo wivu wa kipumbavu.ungeniambia utajiri wa maloli na mahoteli ya Riziwani tungekuelewaa hapo
 
upumbavu unao wewe Mwagona ambaye unamtetea mtu ambaye ni fisadi. Nenda pale UDA ukaongee na wafanyakazi wakupe malalamiko yao. Na Mungu amewasaidia fisadi huyu na baba yake Iddi Simba ambaye alikuwa anagawana naye hizo fedha ametolewa na hana mtu wa kumtetea. Mahakama ndiyo mahali mwafaka pa klwenda kueleza kuwa hata mwalimu mkuu wa shule ya msingi ana prado na siyo ukumbi wa Maelezo. Huyu fisadi ilikuwa atolewe kuanzia mwaka 2009 lakini Iddi Simba alikuwa anapoozwa na kumkingia kifua. Nyumba ya ghiriofa na magari ni viashiria tu vingine vitajulikana wakati dola inafanya kazi yake
 
Back
Top Bottom