MEN!...LET'S BE SERIOUS JAMANI!this is not right,nor it is okay

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,035
NASHANGAZWA SANA na wanaume wanaosimulia namna wanavyofanya mapenzi na wake zao KWA MARAFIKI wakiwa WA BAR........!tena wamelewa kweli kweli mbele za akina ELIZA

LOOK HERE......!
unaweza ongea some tips na mtu wako wa karibu sana tena unaongea vitu vya nje kabisa,i mean ukiwa unaomba ushauri au la!lakini biashara ya kuelezea into details whatever is happening chumbani kama
:idadi ya mishindo yako
:idadi ya mishindo ya mkeo
:how she is screaming

THIS IS NOT RIGHT PEOPLE!

SAMAHANI KAMA NIMEWAKWAZA JAMANI
 
Hahahaha eti unajikunja kama Nyani.......mara najikunja hata kwenye kiloba unaweza niingiza.
Hahahaha hapo hapo kuna papaa Mtombo anakwambia natafuna kweli kweli mpaka kitu piuuuuu.
Lakini kumbuka na wanawake nao nimabingwa wa story hizo tena wao ni too much
 
Nadhani hili thread haliwahusu kina Fidel and co. Hili linawahusu wanaume wenye ndoa zao takatifu.

Samahani kama nitakuwa nimekosea.
 
na ndio gia inawasaidiaga pia kuwapata hao mahawara....tabia mbaya sana hiyo, mie nawakataga nishai kweli hapa ofcn unakuta mtu anamueezea galfrnd wake in/out...nawakimbizaga na stori za kijinga.
 
Nadhani hili thread haliwahusu kina Fidel and co. Hili linawahusu wanaume wenye ndoa zao takatifu.

Samahani kama nitakuwa nimekosea.

Mkuu inatuhusu maana huwa tunakuwepo kwenye vikao vya dharula na kushuhudia jamaa akijisifia anavyo mkunja mama yoyoo wengine wanadiriki kusema kama huamini wewe dogo njoo siku nakufunulia pazia uone mwanaume navyo jituma kwa shemeji yako hapo hapo anajigamba yeye akipita akiniachia mm dogo lazima nichemke maana yeye full mikiki mikiki.
 
Geoff ulikuwa baa za uswahilini tena ndo ukayasikia hayo?manake mi hata kusikiliza huo upuuzi nisingeweza!
 
na ndio gia inawasaidiaga pia kuwapata hao mahawara....tabia mbaya sana hiyo, mie nawakataga nishai kweli hapa ofcn unakuta mtu anamueezea galfrnd wake in/out...nawakimbizaga na stori za kijinga.

Yani wewe kila sehemu ni unoko unoko tu! kwanini lakini honey?
 
Geoff ulikuwa baa za uswahilini tena ndo ukayasikia hayo?manake mi hata kusikiliza huo upuuzi nisingeweza!

Hahahaha! hommie najua ungekuwa busy doing the needful.................
 
Geoff ulikuwa baa za uswahilini tena ndo ukayasikia hayo?manake mi hata kusikiliza huo upuuzi nisingeweza!

Najua hupendi kubadilishana mawazo ya kiufundi na wadau hahahaha
Wengi ndipo wanapo lia kozi za kudu ze nidiful
 
NASHANGAZWA SANA na wanaume wanaosimulia namna wanavyofanya mapenzi na wake zao KWA MARAFIKI wakiwa WA BAR........!tena wamelewa kweli kweli mbele za akina ELIZA

LOOK HERE......!
unaweza ongea some tips na mtu wako wa karibu sana tena unaongea vitu vya nje kabisa,i mean ukiwa unaomba ushauri au la!lakini biashara ya kuelezea into details whatever is happening chumbani kama
:idadi ya mishindo yako
:idadi ya mishindo ya mkeo
:how she is screaming

THIS IS NOT RIGHT PEOPLE!

SAMAHANI KAMA NIMEWAKWAZA JAMANI

Geoff umeamkia wapi jana?? maana hukutakiwa hata kuwapa nafasi ya kuwasikiliza

kusimulia jinsi ulivyofanya tendo la siri mbele za watu ni kosa hata iweje

pole sana, inabidi uwe unaenda vile vijiwe vyetu kupunguza hizo encounters
 
Yani wewe kila sehemu ni unoko unoko tu! kwanini lakini honey?

mie cnaga ile unafiki cjui simile, hapana nakupa kubwa naendelea na lyfe, sasa uje unielezee livyombinua mwanamke mwenzangu kichwa chini miguu juu inanisaidia nini upuuzi kama huo? nakukata nishai.
 
mie cnaga ile unafiki cjui simile, hapana nakupa kubwa naendelea na lyfe, sasa uje unielezee livyombinua mwanamke mwenzangu kichwa chini miguu juu inanisaidia nini upuuzi kama huo? nakukata nishai.

Hahahahaha kazi kweli kweli luv si anakufundisha mautundu mama
 
Kimsingi mimi watu kama hao huwa nawachukulia kama wenye upungufu vichwani mwao coz mtu timamu kichwani huwezi kukaa kijiweni unapoteza muda wako kuelezea jinsi gani unam-do your wife........it is disgusting aargh!!!!!!!!!!!
 
[FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]SKILLS OF SELF-DIRECTED LEARNING [/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]1. The ability to develop and be in touch with curiosities. Perhaps another way to describe this skill would be "the ability to engage in divergent thinking."[/FONT][FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]
2. The ability to perceive one's self objectively and accept feedback about one's performance non-defensively[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]3. The ability to diagnose one's learning needs in the light of models of competencies required for performing life roles. [/FONT]​
4. [FONT=Georgia, Times New Roman, Times, serif]The ability to collect evidence of the accomplishment of learning objectives and have it validated through performance. [/FONT]
 
mie cnaga ile unafiki cjui simile, hapana nakupa kubwa naendelea na lyfe, sasa uje unielezee livyombinua mwanamke mwenzangu kichwa chini miguu juu inanisaidia nini upuuzi kama huo? nakukata nishai.

Inakusaidia kujifunza jinsi ya kumfurahisha wa kwako. Nway just kidding its quite NOT right at all............
 
Hommie labda walikuwanakuapa uzoefu si wanajua kuwa kuwa weye umeingia kwenye medani hivi karibuni!:target:
 
Back
Top Bottom