Unamtukana Mwenzako halafu unajitapa kwamba humuombi radhi!.Chondechonde Membe,Mungu humdhalilisha Mfitini.Muungwana huomba radhi haraka pindi aonapo ujumbe wake umepokelewa tofauti na alivyodhamiria.
Hivi kutangaza kutoomba radhi ndio ugangwe au ndo ushujaa?
Mi nashindwa kuelewa Kikwete ana maslahi gani na vita ya Kongo hadi kujiingiza kwenye migongano ambayo ni totally BASELESS. Au ndio ule uvumi kuwa Riziwani anataka kuingia kwenye biashara ya almasi na mbao za Kongo?
Membe na Kikwete wanaweza kuwa wanatafuta sifa kwa kuwa watu wengi wanapenda siasa za KI_GANGWE lakini kidiplomasia haiiweki nchi yetu pazuri. Huku Chini Malawi mgogoro hawajautatua, then wanatafuta ugomvi wa KUNUNUA na Rwanda, hatujui kesho itakuwa nani??
Mind you Tanzania ndio nchi yenye uchumi dhaifu na maendeleo duni kwa sasa kwenye ukanda wa Afrika mashariki huku bajeti yake ikiwa tegemezi kwa asilimia 41. Kwa uchumi huu wa hospitali hazina dawa na akina mama wanalala wanne wanapojifungua hatuna haja ya kutafuta migogoro na majirani. FDLR hawatuhusu sisi watanzania na ni matatizo ya ndani ya Rwanda kwa nini tujihusishe?? Je siku Kagame akiibuka na kumshauri Kikwete aende walau kutoa POLE kwa mjane wa Mwangosi, Kikwete atafurahi?? Mbona Membe na CCM yake hawajakaa kwa majadiliano na watu wa Mtwara kuhusu matumizi ya gesi but wanataka majadiliano kwenye nchi za watu?? Wajanja tumenusa kitu hapo...

Membe pataneni kwanza nyie na wapinzani wenu na msitumie mabavu kama mnavyofanya then ndo uwanyoshee kidole Rwanda.
Nadhani wewe ni kimeo pia, siasa za kimataifa zina mipango na misimamo yake, utakumbuka wakati Tanzania inasaidia Ukombozi nchi za kusini mwa Afrika haikuwa na maana kwamba uchumi wetu ulikuwa imara kiasi cha kutoa misaada. Mwalimu Nyerere aliifanya Tanzania kuwa nchi strategic kusini mwa Afrika na lazima hayo yaendelezwe si kwa kificho Bali kusema wazi Kama tulivyopinga ubaguzi wa rangi Afrika Kusini mbele ya macho ya Uingereza.

Aitaka serikali ya Kagame ipatane na wapinzani badala ya kutumia mabavu.
Asisitiza Tanzania ipo tayari kuwapa ushirikiano kama ikiombwa.
Jamaa ni jembe sana.......
Anafaa kua rais ajaye.
Jamaa ni jembe sana.......
Anafaa kua rais ajaye.
this is coming from wenje???? one of those classless politicians waliojazana CDM anaongea upuuzi wowote kisa bunge lipo LIVE