Membe asaini mkataba bila kuusoma nchini China, mwakilishi aja juu, rais Kikwete amtetea!

Kuna swali la kujiuliza hapa, kwa nini Membe akimbilie kusaini? Kwani akisubiri atakosa nini? Je anajua kilichoandikwa humo labda ndio maana akausaini haraka? Je, JK kwa nini hakushtushwa na hilo? Labda anajua nini kilichomo humo ndani, na alimtaka Membe asaini haraka?
 
Eeeh
 
Back
Top Bottom