Meli za kivita za Urusi kupitia bahari ya Uingereza

c804c0fb197f9c904a1be70a5f700d22.jpg
21c6fdc471107bc41174dcced4cc9ca3.jpg
Admiral Kuznetsov hii meli ni hatari sana
Na sie wabongo tutengeneze letu
 
Kama kuna mtu anaweza nipa data ambayo ktk vita vikuu vya kuangamiza utawala wa hilter kati ya malekani na urusi nani aliyekuwa wa kwanza kuingia mji mkuu wa Ujerumani na kupepea bendera yake.
Mimi nasema ni Rusia

Yaani hapo mkuu hata historia inajua ni Russia. Hata marekani asingeingia Russia alikuwa ameshachukua Europe yote kasoro Japan. Marekani kupiga mabomu japani alikosea sana kwa sababu Russia alimwambia hakuna haja ya kuua watu wakati wameshashinda Vita.

Na kama Hitler asingejaribu kuingilia west Russia angeshinda vita na angechukua Europe yote. Kosa alilofanya ni kutaka kuchukua mpaka Russia kwa tamaa zake za kukuza NAZI area na kuchukua potential sites za USSR zilizopo karibu yake na ndipo alipokosea saaaaana mpaka leo anajutia kuchokoza kila mtu. Russia alimpiga Mjerumani mpaka Hitler hakuamini na kutaka kuomba radhi kwa telegram.
 
mkuu ebu jaribu kutafuta historia au kasome upya na kupitia vizur historia ya Manhattan project kuna sehem wanaeleza kwanini Truman alitoa order ya bombing Japan...WW2 iliisha nguvu baada ya USSR kuiteka Berlin, na chanzo cha WW2 alikua mjeruman na sio Japan ...
Kupigwa kwa Japan na atomic bombs ilikua ni kupeleka ujumbe kwa soviet

Soma hio Manhattan project inaelezea kila kitu

Truly
 
Mim ni mshamba lakini wewe umenizidi kete!!

Absolutely, si unajua huku kwetu tumezoea kufunga kamba ya katani kuzuia magari yasipite na nyara za serikali kwahiyo nikadhani na wao wanawezza kufunga minyororo au kupanga mitumbwi kuwasubiri.....
 
Yaani hapo mkuu hata historia inajua ni Russia. Hata marekani asingeingia Russia alikuwa ameshachukua Europe yote kasoro Japan. Marekani kupiga mabomu japani alikosea sana kwa sababu Russia alimwambia hakuna haja ya kuua watu wakati wameshashinda Vita.

Na kama Hitler asingejaribu kuingilia west Russia angeshinda vita na angechukua Europe yote. Kosa alilofanya ni kutaka kuchukua mpaka Russia kwa tamaa zake za kukuza NAZI area na kuchukua potential sites za USSR zilizopo karibu yake na ndipo alipokosea saaaaana mpaka leo anajutia kuchokoza kila mtu. Russia alimpiga Mjerumani mpaka Hitler hakuamini na kutaka kuomba radhi kwa telegram.
Apo mimi ndo hua najilazmsha Hitler sijui alikua na akili gani kuwaza kuivamia soviet..tukirudi nyuma hakuna nchi ya ulaya yoyote ile ilio kua na uwezo wa kupigana na Mjeruman...

ukifatilia historia vizuri ya WW2 inasema mpaka Waziri mkuu wa wingereza Wakati huo alikua anamwomba rais wa US aingilie vita..lakin US alikataa na kusema yeye atabaki neutral..mfaransa ndio alikua anamwogopa sana ujerumani baada ya kupigwa ile vita aliyonyang'anywa makoloni

Hio ina maana kua Mjeruman alikua na uwezo wa kupigana na ulaya yote akiwa Peke yake na Kweli alizipiga bahadhi ya nchi na aliziteka...ua najiuliza ni nini pia kilimtuma haivamie USSR...?...tamaa yake ilimponza sana
 
Tamaa ilimponza. Angetulia na nchi alizoziweza kwa sababu historically Soviet haikuwa na conflict na German wala uchokozi. Kila mmoja angefanya movements zake bila interference kama ilivyokwepo. German alikuwa na uwezo mkubwa wa kuwa na power lakini mistakes zake ndio zimechimba their own graves.
 
Usiwe na wasiwasi Mkuu ila Mkulu pale Magogoni kasema pesa ipo.....??
Pesa IPO wakt wanafunz hawana mikopo,walim hawajalipwa madai yao,serikali imeshndwa kuajili,bandarin empty,mzunguko wa pesa umekua mdogo sana,biashara zinafungwa kila siku,n.k... Labda waombe watengenezewe kwa mkopo
 
Mungu sijui kwa nini sisi waafrica katunyima akili ya kutengeneza vitu,watu wana elimu kubwa lakini uwezo wao sasa
 
Back
Top Bottom