Meli ya misaada kutoka Spain imetia nanga Gaza. Sasa bandari anayojenga Marekani ina haja gani?

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,200
10,940
Meli yenye misaada kwa ajili ya watu wa Gaza waliozuiliwa chakula na Mayahudi imetia nanga na kuanza kuteremsha chakula angalau kidogo.

Meli hiyo ilianza safari takriban siku 4 zilizopita kutoka nchini Spain na kwa muda mfupi kufika eneo hilo bila usumbufu.

Katika hali hiyo ile nia ya Marekani ya kujenga gati litakalomalizika miezi miwili ijayo inazidi kueleweka kwamba kuna ajenda tofauti na kuokoa maisha ya watu wa Gaza.
 
Meli yenye misaada kwa ajili ya watu wa Gaza waliozuiliwa chakula na mayahudi imetia nanga na kuanza kuteremsha chakula angalau kidogo.

yaan waislam ni watu wasio na shukran , mara mnapanda juu ya misitimu kuomba chakula , chakula kimekuja mmeshiba mnasahau hata kushukuru mnaanza kosoa waleta msaada
 
Waislamu hatutaki kuomba na kugaiwa .Sisi ni watu wa kufanya kazi na kula kwa jasho letu.
Waondoke wote kwenye ardhi zetu tulime na tufanye biashara halalli ili tule kwa kazi za mikono yetu.
 
Ujinga ni mzigo...

Wadhani kila meli inaweza fika popote pale so haina haja ya Bandari.. meli zinatofautiana na uzito na magate yake pia.. even hii unayoisema ipo mbali na mashua ndogo ndogo ndizo zinapokea na kupeleka pwani mizigo
 
Muhimu ilikuwa ni kupeleka chakula watu wasife kwa njia yoyote ile na Spain wameonesha inawezekana.
Wewe unayeamini kuwa chakula kiwafikie wapalestina miezi miwili ijayo baada ya gati inayojengwa na Marekani ndiye mjinga mkubwa.
Umeshindwa kuona kuwa Marekani inaendeleza ajenda zake na za Israel kwa kisingizio cha bandari.
 
Bandari ya Mmarekani ni kuhakikisha katia guu pale kichwa kichwa ili awabane kwenye ugaidi wa dini yenu.
Kwa sababu nia zako na hao America ni moja ndio maana umeng'amua hiyo mbinu.
Lakini kwa uwezo wa Allah hizo mbinu zitashindwa kama ilivyotokea Vietnam,Libya na Afghanistana
Wazungu waseme itabackfire
 
Waislamu hatutaki kuomba na kugaiwa .Sisi ni watu wa kufanya kazi na kula kwa jasho letu.
Waondoke wote kwenye ardhi zetu tulime na tufanye biashara halalli ili tule kwa kazi za mikono yetu.
mlipanda kwenye misitimu kumuomba nan chakula kule upande wa Misri
 
Meli yenye misaada kwa ajili ya watu wa Gaza waliozuiliwa chakula na mayahudi imetia nanga na kuanza kuteremsha chakula angalau kidogo.
Meli hiyo ilianza safari takriban siku 4 zilizopita kutoka nchini Spain na kwa muda mfupi kufika eneo hilo bila usumbufu.
Katika hali hiyo ile nia ya Marekani ya kujenga gati litakalomalizika miezi miwili ijayo inazidi kueleweka kwamba kuna ajenda tofauti na kuokoa maisha ya watu wa Gaza.
Wapalestina wanaitaka hata kesho , wanaona inachelewa , mjinga mmoja anasema ya nini!
 
Kwa mwendo huu wapumbavu hamtaisha.
acha kipigo kiendelee , hamkuwaonea huruma waislam wenzenu weusi wa Sudan pia hamkuwajali wana mocimba walipouliwa kwa silaha za waarab zilizonunuliwa na waarab , pia hamkuwaonea huruma wakimbiz wa kiafrika walioliwa na waaarab wa libya , HII NI JIBU TOSHA WW NI MPUMBAV NA BADO UNASIMAMA UPUMBAV WAKO , HUNA UCHUNGU NA MOLLEL AU MTIGA WALIOLIWA NA WAARAB WA GAZA

MYAUDI UA MBUZI HAOO ,
 
Muhimu ilikuwa ni kupeleka chakula watu wasife kwa njia yoyote ile na Spain wameonesha inawezekana.
Wewe unayeamini kuwa chakula kiwafikie wapalestina miezi miwili ijayo baada ya gati inayojengwa na Marekani ndiye mjinga mkubwa.
Umeshindwa kuona kuwa Marekani inaendeleza ajenda zake na za Israel kwa kisingizio cha bandari.
si umesema hutak.chakula cha msaada ? yaan wavaa vipedo mna kazi kwel kwel
 
Kwa sababu nia zako na hao America ni moja ndio maana umeng'amua hiyo mbinu.
Lakini kwa uwezo wa Allah hizo mbinu zitashindwa kama ilivyotokea Vietnam,Libya na Afghanistana
Wazungu waseme itabackfire
huyo allah mpk sasa amewasaidia nini ?
 
Muhimu ilikuwa ni kupeleka chakula watu wasife kwa njia yoyote ile na Spain wameonesha inawezekana.
Wewe unayeamini kuwa chakula kiwafikie wapalestina miezi miwili ijayo baada ya gati inayojengwa na Marekani ndiye mjinga mkubwa.
Umeshindwa kuona kuwa Marekani inaendeleza ajenda zake na za Israel kwa kisingizio cha bandari.
Una chuki na marekani kama ilivyo kwa wayahudi! Mbona marekani hujaagizwa.
 
Kwa sababu nia zako na hao America ni moja ndio maana umeng'amua hiyo mbinu.
Lakini kwa uwezo wa Allah hizo mbinu zitashindwa kama ilivyotokea Vietnam,Libya na Afghanistana
Wazungu waseme itabackfire

Huyo akba Akbar kawakimbia, mulitafuta uchokozi wenyewe, sasa Mmarekani amepata sababu za kuwapumilia mgongoni na bandari yake, mnapigwa kote na kubwa la magaidi Iran linaangalia tu haliwezi kufanya chochote.
Mnapaswa muishi kwa kutulia, muabudu mambo yenu bila kusumbua dunia maana mtapigwa kila mnapolianzisha.
 
Back
Top Bottom