Meli ya kivita ya Marekani yaendelea kudaka makombora yasiyokoma kutoka Yemen

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,920
Wanamgambo wa Houth baada ya kuteka meli yenye inayomilikiwa na kupeperusha bendera ya Israel bado haikukomea hapo kwani juzi kwa mara nyengine walirusha makombora kuelekea Israel.

Kwa bahati mlinzi wa Israel ameweka meli yake ya kivita ya kisasa kwenye bahari nyekundu ambayo ilifanikiwa kuyadaka makombora hayo pamoja na droni.

Hali ni tofauti kule kaskazini ya Israel ambako Iron dome zimeshindwa kazi kuzuia mizinga kutoka Lebanon.

Kule Iraq wanamgambo wengine wameahidi kuingia vitani rasmi na kambi za kijeshi za Marekani zilizopo nchini mwao wakiiona nchi hiyo kama mchokozi kwa kuwadondoshea mabomu mara kwa mara na kuiunga mkono Israel katika kuua raia wa kipalestina kule Gaza.

US warship intercepts missiles fired from Yemen 'potentially towards Israel'

1700749672221.png
 
Endelea kula vumbi uku ukipangusia baragashia.................Israel inawapa tabu waarabu wa kisiju na makondeko ndani ndani huko
 
Wanamgambo wa Houth baada ya kuteka meli yenye inayomilikiwa na kupeperusha bendera ya Israel bado haikukomea hapo kwani juzi kwa mara nyengine walirusha makombora kuelekea Israel.
Kwa bahati mlinzi wa Israel ameweka meli yake ya kivita ya kisasa kwenye bahari nyekundu ambayo ilifanikiwa kuyadaka makombora hayo pamoja na droni.Hali ni tofauti kule kaskazini ya Israel ambako Iron dome zimeshindwa kazi kuzuia mizinga kutoka Lebanon.
Kule Iraq wanamgambo wengine wameahidi kuingia vitani rasmi na kambi za kijeshi za Marekani zilizopo nchini mwao wakiiona nchi hiyo kama mchokozi kwa kuwadondoshea mabomu mara kwa mara na kuiunga mkono Israel katika kuua raia wa kipalestina kule Gaza.

US warship intercepts missiles fired from Yemen 'potentially towards Israel'

View attachment 2822584
Wanamgambo wote hao unaowataja ni Wafuasi wa Mwamed? Wakumbushe TU kwamba wakidundwe wasilielie kama Hamas.
 
Bado Algeria commandos nawasubiria waingie mzigoni kuwatandika hao wazayuni, wayahudi weusi wakijifanya kutia nanga tutawanyoosha mpaka warudi walikotoka
 
Ni Israel au Marekani. Jeshi la Israel nguvu zake ni SAWA na KMKM ya Zanzibar. Ndo maana miezi miwili imekatika wanapambana na wanamgambo
Sogeza kalio lako Jeusi pale kama sufuria ya kuuzia utumbo wa mama rashide uone joka
 
Back
Top Bottom