Meli yawaka moto Red Sea. Meli za kivita za Marekani na Ufaransa zimeshindwa kuzuia shambulio

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,180
10,903
Meli inayoitwa Mt/Stindra inaendelea kuwaka moto na karibu ya kuzama baada ya makombora ya Houth kuishambulia katikati ya meli kadhaa za kivita za Marekani na Ufaransa.

Kwa mujibu wa wasemaji wa jeshi la Marekani ambao hawakutaka kutajwa majina yao meli hiyo ilishambuliwa kwa kombora moja tu ambalo halikukosea shabaha yake kutoka meli 60 ndani ya mamlaka ya Houth wa Yemen.

Meli ya kivita ya Mason iliyokuwa eneo hilo japo ilipokea muito wa shida za shambulio lakini haikuweza kutoa msaada wowote na ipo eneo la tukio ikishuhudia na kuangalia namna ya kutoa msaada mwengine,

Zaidi ya wiki moja iliyopita meli tatu za kibiashara zilishambuliwa eneo hilo hilo na meli ya kivita ya USS corney kupambana na makombora kadhaa ya Houth na mwishowe nayo ikarushiwa kombora na kulengwa kwa droni.

Kwenye shambulio hili jipya la leo meli hiyo USS CORNEY haijatajwa kushiriki kwenze zoezi la kupambana na makombora ya Houth wanaopigana kulenga maslahi ya Israel kutokana na vita vinavyoendelea Gaza.

Commercial Ship In Flames After Red Sea Missile Attack

1702353250205.png
 
mwishowe tutashuhudia maskini akileta ushindi vitani.Na hekima za Allah daima huwa ni kudhihirisha la haki watu wanaloona haliwezekanpo
Poleni sana, nasikitika watu wa Yemen kipigo kikianza huyo Allah hatawasaidia, youth wanawasha moto halafu hawawezi kuuzima, ni suala la muda tu, mtatafutana
 
Ila siku upepo ukigeuka, na sio mbali, wasianze kumwita allah
Huo upepo huoni kuwa unageuka kinyume na matarajio
Hivi vita vilionekana ni vya muda mfupi na kwamba ni ndani ya Gaza pekee.Hali inavyoendelea vinazidi kusambaa kwa kasi msitu na nyika.
Kiuhalisia Israel hawezi kupiga kila mtu na akabaki salama.
 
Meli inayoitwa Mt/Stindra inaendelea kuwaka moto na karibu ya kuzama baada ya makombora ya Houth kuishambulia katikati ya meli kadhaa za kivita za Marekani na Ufaransa.
Kwa mujibu wa wasemaji wa jeshi la Marekani ambao hawakutaka kutajwa majina yao meli hiyo ilishambuliwa kwa kombora moja tu ambalo halikukosea shabaha yake kutoka meli 60 ndani ya mamlaka ya Houth wa Yemen.
Meli ya kivita ya Mason iliyokuwa eneo hilo japo ilipokea muito wa shida za shambulio lakini haikuweza kutoa msaada wowote na ipo eneo la tukio ikishuhudia na kuangalia namna ya kutoa msaada mwengine,
Zaidi ya wiki moja iliyopita meli tatu za kibiashara zilishambuliwa eneo hilo hilo na meli ya kivita ya USS corney kupambana na makombora kadhaa ya Houth na mwishowe nayo ikarushiwa kombora na kulengwa kwa droni.
Kwenye shambulio hili jipya la leo meli hiyo USS CORNEY haijatajwa kushiriki kwenze zoezi la kupambana na makombora ya Houth wanaopigana kulenga maslahi ya Israel kutokana na vita vinavyoendelea Gaza.

Commercial Ship In Flames After Red Sea Missile Attack

View attachment 2839998
Mtakapoona meli z8nazotia nanga bandari ya salama zinashambuliwa pua ndipo mtazinduka na kuacha kushabikia upuuzi wa hizi vita zinazoonesha uhayawani wa binadamu.
 
Acha woga na fitna.Tanzania hakuna wa kufanya mashambulio ya meli zilzotia nanga .
Pamoja na hivyo taifa nalo lichukue tahadhari ya kutopuuza maumivu ya wapalestina na wala isitoe matamko ya kuunga mkono Israel kwa unyama wake.Ifanye kama ilivyofanya kwenye kura ile ya UN mwezi uliopita.
 
Israrl
Palestina
Ukraine
Urusi
Sytia
Hawana watu wa kuwapambania hadi wewe keyboard worrior usimame for them?

DRC Waafrika wenzako wanachinjwa na silaha zilizotengenezwa na mabeberu.

Hapo Cabo Delgado jirani na mpaka wa Tanzania wamakonde wanachinjwa kwa jina la Allah na hilo linatukia hadi ndani ya mipaka yetu. Wewe umeshupaza shingo na mshipa wa nini sijui eti kutetea wajinga walioshindwa kupatana maelfu ya miaka.

Yeyote anayeshabikia vita ana chembe chembe za uhayawani kama mnyama wa mwitu
 
Cavodel gabo na ndani ya mipaka yetu wewe ndio umeona.
Palestina na Ukraine ndio kuna vita.Huku kwengine ni fitna tu na nyengine zimeshindwa kufanya kazi,
 
Nimeona na wanaojua ni wengi.

Wsliosomewa albadir na serikali yao wamebaki wananing'inia kama wamekula machicha ya wanzuki😅😅😅

Kwa sababu uzwazwa wa wengi hawaoni hata kinachojiri Somalia, Sudan Kusini na Kwingineko Afrika
 
Back
Top Bottom