Meli ya kitalii yapiga nanga Haiti

Mnaona imekaaje hii?

  • watalii watasaidia uchumi ulioathirika na tetemeko

    Votes: 0 0.0%
  • watalii wangeonyesha heshima kwa wafiwa kwa kwenda sehemu nyingine

    Votes: 1 33.3%
  • vijana wa Haiti waige wasomali katika 'ukusanyaji wa kodi' za bandari

    Votes: 3 100.0%
  • sina matatizo hasa kama watawapa makazi waathirika

    Votes: 1 33.3%
  • sina maoni

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    3
  • Poll closed .

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,397
3,884
Wakati hali ya sehemu kubwa ya Haiti ni kama hii baada ya janga la tetemeko la ardhi:

slide_4435_62162_large.jpg




slide_4435_62295_large.jpg




slide_4435_62288_large.jpg



Meli hii ya kitalii imetia nanga katika pwani ya Haiti.

labadee_151497e.jpg
 
watakula raha na nani hao? hawaoni magofu matupu yamebaki na hata vidosho ndiyo hao waopolewa wakiwa hoi bin taaban
 
Keynez,

this was very insensitive. Unaambiwa baadhi ya jamaa walikua kwenye balcony ya
meli wakichoma bbq. Sasa hio itawasiaida vipi wa-Haiti?
 
Does this mean they had no idea of what had happened in Haiti? Au walikuwa wanaenda kusaidia? Au walikuwa wanapita kwenda mahali kama Dominican republic?

If none of the above are true, and they were merely there to witness what was going on, then it was truly insensitive and inhumane of them! Wakiongozwa na captain wao.
 
Yaani wenzao wamefiwa, jamaa wanakuja kufanya bbq party? Hivi hawajui kuwa wa Haiti wana wiki nzima ya kula biskuti?
 
Inasemekana kampuni inayomiliki meli hiyo imekuwa na uhusiano wa kitalii na Haiti kwa miaka mingi na uamuzi huo ulifanywa na kampuni. Nadhani ilikuwa stop-over iliyokuwa kwenye schedule kabla ya tetemeko. Hivi serikali ya Haiti imeishia wapi, tumeshamuona Raisi (siku ya kwanza tu), lakini mawaziri, meya wa Port-au-Prince na viongozi wengine wameishia wapi? Nadhani wangesaidia kusimamia mambo kama haya.
 
Back
Top Bottom