Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,644
- 113,877
Nimeangalia hii avata yako, nimeangalia wee..., nimeangalia wee..mwisho ..Usijali kakangu, kwa ajili yako .........
Unaonaje kama kati ya neno "Usijali kakangu", na "kwa ajili yako" ungeongezea kajineno kadogo tuu ka herufi 4?.