Meet the two minds behind JamiiForums

Usijali kakangu, kwa ajili yako .........
Nimeangalia hii avata yako, nimeangalia wee..., nimeangalia wee..mwisho ..
Unaonaje kama kati ya neno "Usijali kakangu", na "kwa ajili yako" ungeongezea kajineno kadogo tuu ka herufi 4?.
 
Hata mimi hapa nahisi jamaa wameteleza, maana najaribu kutafakari hizo sita zilizotutangulia lakini sipati jibu.

Unapaswa kujua takwimu hubadilika mara kwa mara, tembelea hizo web husika utagundua.
Lakini pia kumbuka kuna sites popular sana nchini kwa matumizi, mfano facebook,google,yahoomail,gmail,hotmail,mwananchi,ipp, etc
 
Kazi nzuri wakuu Max na Mike,

Taifa linahitaji watu wa aina yenu kulikomboa na kulijenga upya, hakika ninyi mmeonyesha njia!

Msife moyo kwa vitisho vya wanasiasa na watawala wa kiimla,

Kila muamkapo na mtembeapo Mungu yupamoja nanyi!

Hongera sana, Idumu JF
 
Ebhana wee, kipindi hicho bado magazeti yakiendeshwa na wanahabari haswa!

"And the best that you can hope for
Is to die in your sleep."(Others ar usless)
 
Back
Top Bottom