Meet the two minds behind JamiiForums

Na damu bado ya moto, lol! Unalo hilo Pasco
No mimi tayari jioni, ila nimebaki maini tuu!, uzuri wangu mimi ...kwa macho tuu!, Siku nikikuona kiukweli, nikumbushe ili angalau nikulipe kwa ...!. Ila pia punguzeni makusudi ya ki facebook humu jf, wengine wetu dhaifu!.

Mpaka sasa bado sijatoa comments zangu kuhusu hii mada!, bado naendelea tuu kushangalia ...
 
Niliiona Twitter, then a girll next to me asked if Mike McKee was married.
:focus:
Hongereni sana kaka zetu. I'm proud to be part of the story...:poa
Du! masista duu wa bongo bwana kwa kupenda slope.
Kwa nini asinitafute mimi, tukeshe wote then tukifanikiwa na yeye anakuwa sehemu ya hayo mafanikio...
 
No mimi tayari jioni, ila nimebaki maini tuu!, uzuri wangu mimi ...kwa macho tuu!, Siku nikikuona kiukweli, nikumbushe ili angalau nikulipe kwa ...!. Ila pia punguzeni makusudi ya ki facebook humu jf, wengine wetu dhaifu!.

Mpaka sasa bado sijatoa comments zangu kuhusu hii mada!, bado naendelea tuu kushangalia ...
Usijali kakangu, kwa ajili yako itabidi niitoe hii avatar.......... Comments zako ni muhimu sana, sitaki nikupotezee muda kwa kushangaa
 
Usijali kakangu, kwa ajili yako itabidi niitoe hii avatar.......... Comments zako ni muhimu sana, sitaki nikupotezee muda kwa kushangaa
, No usiiondoe, you look good!, unajua sisi wengine, hata ukiudhika, kuna picha fulani ukiona, unajikuta you just smile!, ndio maana watu huwa wana picha za wapendwa wao ukutani hadi ofisini na siku hizi kisasa zaidi kwenye simu hadi kwenye key holders!.
 
..SIJAIPENDA! Yaani hao nani sijui wanadiriki Kusema JF inashika nafasi ya SABA kwa kupendwa Nchini??:nimekataa Pleeeeaaase! Are they Real? Hebu naomba anayefahamu hizo SITA zinazosemeka kuitangulia JF aziweke hapa Nipime Mwenyewe na Sio kupimiwa na Hao nani sijui....!
 
, No usiiondoe, you look good!, unajua sisi wengine, hata ukiudhika, kuna picha fulani ukiona, unajikuta you just smile!, ndio maana watu huwa wana picha za wapendwa wao ukutani hadi ofisini na siku hizi kisasa zaidi kwenye simu hadi kwenye key holders!.
Noted!
haya sasa tunasubiri mchango wako kwenye uzi huu. Si unaona mzee Maxence Melo anavyosubiria points zako?
 
Last edited by a moderator:
Max na Mike, hongereni sana!.
  1. Baada ya jf kunipatia ile kazi, then jf imekuwa ni mkombozi wangu and one of my working tool since then mpaka kesho.
  2. Mlikotoka ni mbali na kulikuwa kugumu sana, ila pia safari bado ni ndefu na kuna kilima kikubwa mbele, hivyo hatuna budi kujipanga kimipango mkakati ili tufike kileleni, ibakie kuteleza tuu kwenye kwenye mteremko.
  3. Kama mlivyo patikana kwenye interview ya gazeti, nami nitamshauri yule jamaa yangu Pascal Mayalla mfanye guest appearance kwenye zile programs zake, nasikia kuanzia January 2013, zitakuwa zinatoka weekly, na jitahidini kutengeneza japo ki graphic ad mimi nitakilipia ili jamaa akirushe kwenye program zake!.
  4. Mpaka hapa mlipoifikisha jf ni kwenye mafanikio makubwa, lakini kila kwenye mafanikio, hapakosi changamoto, nawaombeni sana, tuzifanyia kazi changamoto zitakazo jitokeza ili jf izidi kupasua anga, tuwe na jf magazine, jf radio, jf talk show, jf tv, etc etc.
  5. Nimejingudua kumbe mimi ni mtu wa critique zaidi kuliko fagilia, kwa vile huu ni uzi wa pongezi, naombeni niwapongeze tena, mzingatie mlipotoka na kujipima kwa hapa mlipo ili mjue kule tuendako!.

Big UP sana.

Pasco wa jf
 
..SIJAIPENDA! Yaani hao nani sijui wanadiriki Kusema JF inashika nafasi ya SABA kwa kupendwa Nchini??:nimekataa Pleeeeaaase! Are they Real? Hebu naomba anayefahamu hizo SITA zilizoitangalia JF aziweke hapa Nipime Mwenyewe na Sio na Hao nani sijui....!
Hata mimi hapa nahisi jamaa wameteleza, maana najaribu kutafakari hizo sita zilizotutangulia lakini sipati jibu.
 
Wakuu
hongera zenu, tafsiri isiyo rasmi ya ule msemo "Sauti ya wengi ni sauti ya mungu" inawaangushia baraka zisizo kifani! kwani mmeweza kutuunganisha watanzania na watu wa mataifa mengine kwa pamoja na kupaza sauti zetu kwa yale yanayotuhusu, kama hivyo ndivyo mmesaidia ku-amplify sauti zetu zimfikie Mungu. Nisemeje kama sio kumshukuru Mungu kwa kuwajilia vipaji na kulipanda wazo la JF vichwani mwenu? Mwenyezi mungu azidi kuwajaza baraka mpaka zimwagikie huku nikiamini tunaanza safari ya kuwa na kituo cha RUNINGA zaidi ya Aljazeera.
 
Congrats once again Max and Mike.
Proud of you guys, jf is our home even when we dont wanna think,lol.

Mie nangojea tuanzishe tv yetu. Hakuna news za kusikiliza kabisa. Lau.basi.tuanze.hata na online radio.
 
Hata mimi hapa nahisi jamaa wameteleza, maana najaribu kutafakari hizo sita zilizotutangulia lakini sipati jibu.

Mkuu kama unazijua zitaje kwa majina ama kwa hakika nasi tujipimie wenyewe kama haki imetendeka.
 
Mikeeeeeeeeeeeeeeeee Alikuwa Mshikaji wangu sanaaaaaaaaaaaaaa enzi hizo Facebook Mwaka 2009,2010 time change bana na pipo change piya
 
Back
Top Bottom