Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,880
Pamoja Saana.
Usijali mdogo wangu... We agiza tu zawadi unayotaka uletewe. Missed you too bro..
Mh hukuniaga waenda wapi nisijeagiza mashokishoki kumbe upo Manyara!!!
No mimi tayari jioni, ila nimebaki maini tuu!, uzuri wangu mimi ...kwa macho tuu!, Siku nikikuona kiukweli, nikumbushe ili angalau nikulipe kwa ...!. Ila pia punguzeni makusudi ya ki facebook humu jf, wengine wetu dhaifu!.Na damu bado ya moto, lol! Unalo hilo Pasco
Du! masista duu wa bongo bwana kwa kupenda slope.Niliiona Twitter, then a girll next to me asked if Mike McKee was married.
:focus:
Hongereni sana kaka zetu. I'm proud to be part of the story...oa
Usijali kakangu, kwa ajili yako itabidi niitoe hii avatar.......... Comments zako ni muhimu sana, sitaki nikupotezee muda kwa kushangaaNo mimi tayari jioni, ila nimebaki maini tuu!, uzuri wangu mimi ...kwa macho tuu!, Siku nikikuona kiukweli, nikumbushe ili angalau nikulipe kwa ...!. Ila pia punguzeni makusudi ya ki facebook humu jf, wengine wetu dhaifu!.
Mpaka sasa bado sijatoa comments zangu kuhusu hii mada!, bado naendelea tuu kushangalia ...
, No usiiondoe, you look good!, unajua sisi wengine, hata ukiudhika, kuna picha fulani ukiona, unajikuta you just smile!, ndio maana watu huwa wana picha za wapendwa wao ukutani hadi ofisini na siku hizi kisasa zaidi kwenye simu hadi kwenye key holders!.Usijali kakangu, kwa ajili yako itabidi niitoe hii avatar.......... Comments zako ni muhimu sana, sitaki nikupotezee muda kwa kushangaa
Noted!, No usiiondoe, you look good!, unajua sisi wengine, hata ukiudhika, kuna picha fulani ukiona, unajikuta you just smile!, ndio maana watu huwa wana picha za wapendwa wao ukutani hadi ofisini na siku hizi kisasa zaidi kwenye simu hadi kwenye key holders!.
Hata mimi hapa nahisi jamaa wameteleza, maana najaribu kutafakari hizo sita zilizotutangulia lakini sipati jibu...SIJAIPENDA! Yaani hao nani sijui wanadiriki Kusema JF inashika nafasi ya SABA kwa kupendwa Nchini??:nimekataa Pleeeeaaase! Are they Real? Hebu naomba anayefahamu hizo SITA zilizoitangalia JF aziweke hapa Nipime Mwenyewe na Sio na Hao nani sijui....!
Hata mimi hapa nahisi jamaa wameteleza, maana najaribu kutafakari hizo sita zilizotutangulia lakini sipati jibu.