trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,920
- 2,197
Fact , cha muhim ni kua wapole tu na kuomba radhi kwa uongozi wa chuo na baraza la maaskofu hamna namna, ndo maana seminary hua wanaweza kufuta darasa zima na serikali isifanye kituSwala la busara nikukubali kuwa mmekosea, hata kama madai yenu ni ya hhaki.Kumbukeni sfuchas ni taasisi ya dini, hivyo wana maamuz yao binafsi chini ya baraza LA maaskofu TEC, ambayo hata serikali haiwezi kuingilia kuwatetea in case wakaamua kuwa futa kabisa. Ushauri wangu andikeni barua kwa baraza LA maaskofu kupitia kwa principal Wa chuo kukiri makosa , hata kama sio makosa na muombe msamaha kwa dhati huenda wakawa same he.Ila kwa hao waliodisco inabidi wakutane na maaskofu USO kwa USO may be it can work