madmankache
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 836
- 586
hivi vyuo vya mashirika ya dini madikteta wee,tulipata bahat kurud kwa batch lakini tulipewa madodoso tujaze(na ule uoga aisee tuliwakandamiza viongozi wetu ili sisi tupone,nafsi zinatusuta kwa unafiki hadi leo) ,hayo madodoso yalikuwa yanahitajika kama ushahidi mahakamani maana rais wa chuo na CR FR wetu na watu wachache ndo wakatolewa kafara,hatukumaliza nao chuo,kesi ikawa inarindima tuu huko mahakamani.sisahaugi mambo ya kuboycot asee hadi leo barua za kusimamishwa chuo nnazo na zile za kukiri kosa na kuomba msamaha nnazo,nikizionaga huwa natabasam kwa huzuni tuu.