Mechi ya Yanga na Mediama kiingilio bure ila uwe na jezi OG

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
GSM imewalipia mashabiki wa Yanga viingilio kwenye mechi ijayo na Mediama lakini getini uwe umevaa jezi original.

Huu ni ujuha na siyo msaada jezi kuwa ticket ya kuingia uwanjani,wote tunapenda kuangalia mpira,huwezi kupanga wote tuvae jezi za Yanga ndo tuingie uwanjani.

Na wala siyo bure,ina maana gani watu kulipiwa tickets wakati kiingilio uwe na jezi
 
We vaa Jezi ya Wananchi ukaangalie pira Burudaaaaaniiiiiii.... vaa ata ya dhamani sharti ni origino ..au hamia Yanga utapewa huko ktk matawi ya Wanachama...

Daima mbeleeeeeee

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
GSM imewalipia mashabiki wa Yanga viingilio kwenye mechi ijayo na Mediama lakini getini uwe umevaa jezi original.

Huu ni ujuha na siyo msaada jezi kuwa ticket ya kuingia uwanjani,wote tunapenda kuangalia mpira,huwezi kupanga wote tuvae jezi za Yanga ndo tuingie uwanjani.

Na wala siyo bure,ina maana gani watu kulipiwa tickets wakati kiingilio uwe na jezi

Watumie akili watangaze rangi ya siku hiyo kama ni njano pekee au kijani pekee. Hiyo ingeleta maana kwa uwanja kupendeza kwa rangi Moja tofauti na Sasa ambapo jezi zipo za rangi nyingi. Hilo la jezi original haliwezekaniki ila la rangi Moja mtu aje na jezi ya mwaka wowote ila rangi hiyo iliyotangazwa na iwe ndio tiketi yake ya kuingia uwanjani linge swihi Sana na uwanja ungekuwa kama was ulaya au urarabuni
 
Kama siyo uwendawazimu ni nini ninunue dekio kwa 35,000 ili niingie uwanjani bure wakati kiingilio ingekuwa 3,000

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiingilio 3000 kwani umeambiwa mechi ya Mbumbumbu Fc hiyo .... Kijana wa Rage bhana!!!

Nenda tawi la Yanga lolote omba kuwa mwananchiii...tutakunulia Jezi Ili uone pira Kasi na Burudaaaaaniiiiiii...

Enyoy soka ukiwa Mwananchi FC

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
GSM imewalipia mashabiki wa Yanga viingilio kwenye mechi ijayo na Mediama lakini getini uwe umevaa jezi original.

Huu ni ujuha na siyo msaada jezi kuwa ticket ya kuingia uwanjani,wote tunapenda kuangalia mpira,huwezi kupanga wote tuvae jezi za Yanga ndo tuingie uwanjani.

Na wala siyo bure,ina maana gani watu kulipiwa tickets wakati kiingilio uwe na jezi
Safi sana. Naunga mkono hoja. Viherehere wote wa kushangilia wageni, chaliii!!! 😁
 
RED CROSS WAANDAE MACHERA, SERIKALI YA MKOA PIA WAJIANDAE KWA LOLOTE.
Tangu Uwanja wa Benjamini Mkapa Uzinduliwe Mechi yoyote ya Bure Inayohusu Yanga Maafa yanatokea tokea enzi za Manji. Mara nyingi hutokana na watu kusukumana hasa uwanja unapojaa. Na mengine yametokea hata mwaka haujaisha.
Jiweke mbali na haya matatizo na msije kusema hatukutoa tahadhari. Serikali ilipaswa kukataa huu ujinga unaogharimu maisha ya Watanzania kila mwaka. Jinga sana.
Kwaherini.
 
Watumie akili watangaze rangi ya siku hiyo kama ni njano pekee au kijani pekee. Hiyo ingeleta maana kwa uwanja kupendeza kwa rangi Moja tofauti na Sasa ambapo jezi zipo za rangi nyingi. Hilo la jezi original haliwezekaniki ila la rangi Moja mtu aje na jezi ya mwaka wowote ila rangi hiyo iliyotangazwa na iwe ndio tiketi yake ya kuingia uwanjani linge swihi Sana na uwanja ungekuwa kama was ulaya au urarabuni
Kuanza kuchagua rangi ndiyo kutawaletea usumbufu mashabiki. Maana kila shabiki ana jezi yenye rangi anayoipenda.

Ibakie tu hiyo ya jezi og!! Aliyependekeza hili wazo ana akili sana. 👍
 
GSM imewalipia mashabiki wa Yanga viingilio kwenye mechi ijayo na Mediama lakini getini uwe umevaa jezi original.

Huu ni ujuha na siyo msaada jezi kuwa ticket ya kuingia uwanjani,wote tunapenda kuangalia mpira,huwezi kupanga wote tuvae jezi za Yanga ndo tuingie uwanjani.

Na wala siyo bure,ina maana gani watu kulipiwa tickets wakati kiingilio uwe na jezi
Kipimo cha jezi OG ni kipi?
 
RED CROSS WAANDAE MACHERA, SERIKALI YA MKOA PIA WAJIANDAE KWA LOLOTE.
Tangu Uwanja wa Benjamini Mkapa Uzinduliwe Mechi yoyote ya Bure Inayohusu Yanga Maafa yanatokea tokea enzi za Manji. Mara nyingi hutokana na watu kusukumana hasa uwanja unapojaa. Na mengine yametokea hata mwaka haujaisha.
Jiweke mbali na haya matatizo na msije kusema hatukutoa tahadhari. Serikali ilipaswa kukataa huu ujinga unaogharimu maisha ya Watanzania kila mwaka. Jinga sana.
Kwaherini.
Acha upotoshaji wewe.
 
Back
Top Bottom