Mechi ya waheshimiwa wabunge

Acha upoyoyo timu ulizo zitaja ni matawi ya Simba na Yanga na wachezaji wengi wa timu hizo utakuta ni wanazi wa ama Simba au Yanga na yanga na Simba hawajaua soka nchii.. kinachouwa soka ni mfumo mzima wa soka la tanzania kuanzia TFF...

huyu jamaa pia alipaswa ajue kuwa hata ukishabikia toto kama mechi yoyote inachezwa huwezi kuwa neutral , kama siyo Spain basi utakuwa italy hata kama wewe ni shabiki wa England!
 
binafsi sidhani kama kuna tatizo kwa wao kushiriki mechi hii kwani si jambo linalofanywa kiofisi ni kama tu mbunge anavyoamua kwenda kutafuta kimwana kichochoroni akajipe raha haisiani na mambo ya kiofisi............
 
Hili ni tamasha la shigongo na CCM ili watu tusahau hali ya Dr Ulimboka

Hatudanganyiki
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Wabunge wa Simba wamewakandamiza wale wa Yanga bao 3-2 katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa. Kama kawaida wabunge wa Simba walikuwa ni majembe kwa kwenda mbele wakiongozwa na Zitto Kabwe na dogo Nassari waliwachachafya wabunge wa Yanga waliokuwa wakiongwa na Mwingilu Nchemba kama inavyonekana kwenye picha hapo chini. Nasikia Lusinde alikuwa akiichezea Yanga alikuwa akimmwagia matusi refa akapigwa red na kushia kusema kudadadadake.

Hapa wabunge wa Simba wakiongozwa na Zitto wakishangilia baada ya ushindi.
IMG_8306.JPG

Team Simba wakifurahia ushindi

IMG_2440.JPG

IMG_8302.JPG

Dah

Dogo Nassari kama kawaida aliwachachafya sana yeboyebo.

IMG_2444.JPG

Ilikuwa ni vifujo na nderemo

IMG_8323.JPG

Team Simba ikisherekea ushindi

IMG_8343.JPG

IMG_8406.JPG

Yeboyebo kwishanei

IMG_8325.JPG

Hawana hamu

IMG_8302.JPG

Dah

IMG_8280.JPG

Mwingilu Nchema na Yeboyeno wenzake. Kama kawaida na fuji zao bungeni, dakika 90 hawaziwezi hawa. Magamba mpaka Yanga.

IMG_8452.JPG

wabunge washabiki wa simba wameshinda kwa mikwaju ya penati 3 kwa 2. Ni baada ya dk 90 kuisha ngoma suluhu
 
Mimi ni Yanga damu, niliposikia huyu Mwigulu Nchemba eti naye yupo kwenye list ya Yanga nilikinai hapo hapo na kuanza kuiombea Simba iifunge timu yangu ya Yanga ikiwezekana hata magoli 20.

Nami ni Jangwani damu, ila Mwigulu dah........
 
Back
Top Bottom