Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,035
Jamaa hapo anawaza akienda na mkewe beach washkaji watamuona michirizi yake kwenye swimming costume.Wanaume WA Dar wanavituko?yani mistari inamtisha lol!!sasa huyo mwanaume akiona mende si atahama nyumba kabisa?