Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

Hata mimi huwa inanitisha,
mara ya kwanza kuiona imejaa mapajani kama rangi ya pundamilia nikadhani labda demu ana ukoma,
sikuwa najua kuna kitu kama hicho na sikudhubutu kunaniliu,

kuna mafuta wanatangaza yanatibu streanchmark,

lakini kama hali iko advanced hakuna amount ya mafuta itasaidia
 
Duuh Super human, kumbe akina Jovitha's wako wengi.
Wanaomba ushauri eti kwa niaba ya wadogo zao/marafiki wa kuondoa vitambi na michirizi kumbe ni wao wenyewe.
sure Mkuu ukisoma anavyojieleza utajua tu kua ni yy mwenyewe, anayoyaeleza ni Mambo ya kuunga unga ili ionekane anamsaidia mdogo wake ila katika hali ya kawaida huez enda Kwa dada mtu kuelezea michiriz
 
Ila leo inabd niulize, hiv kweli hii michirizi inasababishwa na nn, mana unakuta mtu zaman hakua nayo ila baada ya muda fln unaionaa, Binafsi sijawah kuiona kwa wanaume ndo mana nakua na shaka km kweli n suala la kuongezeka unene tuu, na mara nying naiona kwa wanawake weupe, ila Kwa mtu mweusi inakua myeupe . najiulizaga sana ni ya nn
 
Yan mko Tanga halafu unatafuta ushauri. Nauli ya pangani sidhani kama inazidi elfu 10
 
Jamaa yuko sawa kabisa, anajiolea yeye sio sisi, kamsomesha, anampenda, njemba inadai demu alikuwa kimodo, demu kajisahau na chips mayai, hatembei kama mazoezi, kawa mvivu, unene waleta uvivu kwenye kazi majumbani, kitandani nk. Swala ni wewe dada mtu kumsomesha mdogo wako, apunguze vinono, apige tizi mapaja yawe magumu kidogo, hayo mafuta yanasumbuwa, yuko sawa kabisa mume mtarajiwa, msikilizeni..
 
Wakuu habari za w,keend,

Wakuu naombeni ushauri juu ya huyu mdogo wangu,

Mdogo wangu ana mchumba wake ambae alishafanya proses zote za ndoa, ilibaki kumsubiri dogo amalize chuo wafunge ndoa.

Sasa tatizo limekuja mdogo wangu baada ya kumaliza chuo, amejiachia sana yaani kanenepa alafu kawa na michilizi kiunoni mpaka kwenye makalio na inavyoelekea inaendelea kumtoka maana anaviashiria kama inaendelea kumtoka hadi mapajani.

Sasa baada ya jamaa kumuona hivyo mchumba wake anamwambia jitahidi hiyo mistari ikutoke hangaika kama ni gharama nitalipia lakini hiyo mistari siitaki kuiona mbona wakati unasoma ulikua modo huna hiyo mistari kama ikishindwa kutoka mimi na wewe basi, mimi hiyo mistari inanitisha.

Dogo kanisimulia nikazani utani, kumbe jamaa yupo serious. Sijakaa vizuri huyu jamaa ambae ni shemu wangu akaniibukia mpaka Tanga. Anasema nipo serious na hii inshu jitahidi ukae na mdogo wako umsaidie apake dawa gani ili kuondoa hiyo mistari alafu ni mingi.

Wakuu dogo week ijayo anakuja kwangu nimsaidie maana mimi ndo dadaake mkubwa, alafu harusi ilipangwa mwezi wa na nane na jamaa kama hivyo haelewi somo.

Msaada please kuinusuru ndoa ya mdogo wetu.
Mbona kichwa cha habari tofauti Na contents , contents iko wakati ujao , heading wakati uliopita , kwanini ?
 
tafadhari njoo pm.
 
Weka picha....
 
huyo muoaji ni mpumbavu....
 
Hilo lijamaa ni la hovyo kabisa, sasa wakijaliwa mtoto/watoto na papuchi ya mkewe ikalendemka/ikabweteka sasa atamuacha? au atavumulia michirizi ya kina mama baada ya uzazi (striae gravidarum). Ila mdogo wako atakuwa amenenepa ghafla mpaka apate michirizi (stretch-marks) nyingi. Afanye mazoezi ya kutosha na ale balanced diet, kisukari type 2 na unene ni marafiki.
 
na akija kubeba mimba itakuwaje? manake ni lazima itokee kwa wanawake wengi sana,
huyo sio muoaji awe makini naye sana. kwan kumsomesha kitu gan?
ila mwambie mdogo wako ajitahidi tu apungue kwa afya yake
 
Back
Top Bottom