mdau mpya wa jamii forums

Oxlade-Chamberlain

JF-Expert Member
May 26, 2009
8,635
2,198
habari za saa hizi wana jamii kwa ujumla.mimi nimeamua kujiunga na jamii yenu kwani inavutia mno kwa posts zake za kusisimua na bila ubaguzi.
 
asante sana pale nilishindwa kukujibu mapema kwnai nilikuwa naingina kazini.nashukuru kw akunikaribisha.
 
habari za saa hizi wana jamii kwa ujumla.mimi nimeamua kujiunga na jamii yenu kwani inavutia mno kwa posts zake za kusisimua na bila ubaguzi.

tuko pamoja karibu sana bwana kocha utukochi na hoja nzito! nzito!
 
Karibu sana AW..........! but hilo jina limetuboa sana this yr!

AW ni proffesor wa football,na kazi ya proffesor unaijua sio mda wote darasa zima linafaulu.kwahio kumlaumu wenger sio swala zuri kwani kajitahidi sana ni wachezaji wachache wamemuangusha.kikosi alichokuwa nacho wenger ungempa kocha yoyote duniani unayemjua wewe hasinge weza kumaliza top 4 na kufika nusu fainali ya champions league na fa cup.plus injuries alizokuwa nazo za mabeki ndio kabisa.lakini watu tumeshawazoea wako faster sana kulaumu bila kuangalia deeper.
 
habari za saa hizi wana jamii kwa ujumla.mimi nimeamua kujiunga na jamii yenu kwani inavutia mno kwa posts zake za kusisimua na bila ubaguzi.

Karibu sana Arsene Wenger, Tunaamini mwakani huta tuboa sana kama ulivyofanya mwaka huu.
 
habari za saa hizi wana jamii kwa ujumla.mimi nimeamua kujiunga na jamii yenu kwani inavutia mno kwa posts zake za kusisimua na bila ubaguzi.

Karibu Mkuu, lakini angalia sana na hilo jina ulochagua, siku ukishishuka daraja kutoka premier na kujiunga na kina New Castke usikimbie hapa JF.
 
Karibu Mkuu, lakini angalia sana na hilo jina ulochagua, siku ukishishuka daraja kutoka premier na kujiunga na kina New Castke usikimbie hapa JF.
asante sana mkubwa.siku arsenal itashuka dajara basi ujue msimu huo timu zote za championship zimepanda daraja.
 
tehe tehe!! karibu bwana Wenger..ila naona sasa ivi ushachuja ni bora ukajenge madaraja tu sasa..msimu ujao tunakupa wa mwisho..ukichemka tena tunakukimbiza..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom