Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

Ama kweli mbaya wa mwanamke ni mwanmke mwenyewe.....hivi kweli ujasili na uthubutu wa kumfanyai hivyo mwana wa mwenzio unautoa wapi??
Inatukumbusha machungu ya mwezi uliopita ya yule jamaa wa kule Kiwalani aliyeliwa mtaro/ marinda na wanaojiita vidume , ila mwisho wa siku aibu yao na sasa wananyea ndoo.

Unaambiwa huko gerezani wao ndo wamegeuzwa ma Mrs wa mule.....ujiiinga unakugharimu maisha...

Ama kweli watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Ndo hivo tena ...mwizi achagui adhabu....naona tindikali imepitwa na wakati...do it at your own risk
 
mpaka anachukua maamuzi kama yale lazima kuna jambo, unajua kuna wanawake wanachukua waume za watu kwa utaalamu wa vibabu we utapiga kelele na mmeo unajisumbua tu.

Kama mtu anajua kuna utaalamu wa vibabu si aende?
Mi wananishoshaga kutaja uchawi halafu wanajitia hawauamini.
Kama sio mshirikina huwezi kuwa na hofu ya ushirikina.
 
Wanyolewe tu. Kama huwezi kukiweka home utanyolewa tu. Nasema tena chupa ziwanyoe hadi mkome umalaya..!
 
Hizi discussions ndio watz wanazipenda!

Alieanzisha uzi nae anaonekana kumfahamu kwa kumtetea halafu uzi kaanzisha eti popote alipo anamtafuta. My countrymen katika viwango vyao!

Poor you all!
 
Yule binti mwenyewe muoga Evelyn Salt.. Ati anampiga na ubapa wa panga begani kwa mkwala.. Kwa hiyo hata kurikodi walikuwa wanarikodi kiuoga.. Sina uhakika kama tendo la kukalia chupa lilitekelezwa..

Yani kamgusa tu na kiubapa badala angempiga hata bapa 20 hivi, huyu Elly hata hakuwa na hasira afu anaonekana kweli muoga utakuta hata kufanya hivo ni influence za marafiki zake
 
Last edited by a moderator:
niliiona hile clip yule mdada kashika bonge la panga ahaha mpaka nilihisi kutetemeka kama mimi vile!!!
ila na yule mdada naye akome kuchukua wame za watu
 
Yani nimeiona hii vid now.
Its not fair kumchukulia mwenzio mume bt ni ukatili kufanya yale aliyoyafanya yule mdada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom