Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

Kakosa kaz ya kufanya kwahy atawanyoa wangapi huyo ni mmoja tu kat ya kum awatafute wote mungu angekuwa anatuhukumu hivyo dunia tungeshaangamia

Kweli kabisa mkuu....sishabikii watu kuchukua waume za watu ila hii ya kuwatenda vibaya watu hapana kwa kweli
 
Aisee kuna warembo wanakumbwa na majanga halafu wanaonekana mala..ya, mfano demu arekodiwe na boyfriend wake wakifanya ngono, unakuta ndo boyfriend wake wa kwanza halafu video inavuja na kusambaa bongo yote unakuta jamii yote wanaanza kujaji ni mala. ya

Aisee wapo waliotulia ila wanakutana na nuksi.
 
Kweli kabisa mkuu....sishabikii watu kuchukua waume za watu ila hii ya kuwatenda vibaya watu hapana kwa kweli

Ht mm cshabikii uchepukaj ila tunapaswa kujiuliza ndo njia sahihi yakumzuia mume au mke kuchepuka na idadi husika ya aliokuwa nao unaijua mbona nikujidhalilisha mm nilishashuhudia mwanamke kamfumania mume alivyomaliza vurugu zake mme akamtwanga talaka mchepuko akaolewa tubadilike dawa yk ni kuyapa macho na kumuomba mungu tu zaid kuongeza upendo mpk mtu anajistukia na kurud njia kuu.
 
jamani yule mwizi mshenzi mshenzi mshenzi na mume mshenziiiiiii
wanakaa nyumba moja anamfanya km ndugu yake
anamfadhili kwa yote
leo amchukulie mumewe kweli
inaumiza,jamani bora niibiwe na wambali kuliko mtu nnae mpa kula na kunya
 
:confused2:
We dada nimekuona kwenye clip whatsap ukinyoa mchepuko wa mumeo kwa kisu huku ukitaka kumshindilia na chupa.

Popote ulipo nakutafuta, mrembo kama wewe mumeo hastahili kukutenda hivyo mpk umebadilika kuwa shetani na hali ulikuwa malaika.

Ni pm tuyajenge.
:confused2: na wewe unataka kuwa mchepuko wake
 
jamani yule mwizi mshenzi mshenzi mshenzi na mume mshenziiiiiii
wanakaa nyumba moja anamfanya km ndugu yake
anamfadhili kwa yote
leo amchukulie mumewe kweli
inaumiza,jamani bora niibiwe na wambali kuliko mtu nnae mpa kula na kunya

Sio nyumba 1 ni jirani nasikia. .halafu km wana urafiki sijui ndio maana mwenzie kamaind sn...eti ananyolewa katulia tu...hahaaa!
 
Kuna wanawake wengine wana shida sana

Unafanya vituko kama hivy huku anakubali kurekodiwa

Kwanza mwenyewe anaonekana adabu imepita pembeni kwa maneno yake anayoongea hata kama kaibiwa mme lah sasa clip inasambaakila kona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom