Mdada anaejua kazi za saloon

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,939
22,989
Kama kichwa kinavyosema nahitaji mdada anaejua kazi za saloon (ya kike)

Kuosha wateja
Kuweka Dawa
Kusuka Misuko Tofauti
Make Up kwa wateja
Kubana styles tofauti

Na Nyingine nyingi ambazo atakua ana uelewa nazo.

Saloon ni MPYA imekamilika inahutaji tu mtu wa kazi.

OFISI/SALOON ipo MBEZI MWISHO njia ya GOBA kituo kinaitwa MUHIMBILI.

Ukishuka Mbezi Mwisho Chukua Bajaji shukia Muhimbili nauli 500.

au

Ukishuka Mbezi Mwisho chukua BODA hadi kazini nauli 1500.

Naomba mdada anaejitambua Kazi za saloon hazina mshahara wa moja kwa moja.

Kuna Hela zitakua zako kuna hela ni za OFISI. Wanaojua kazi za saluni nadhani tunaelewana.

Saluni haina mtu utakaepatikana ndio utakae kaa saluni utajisimamia mwenyewe,Hesabu na mambo mengine yote utasimamia mwenyewe.

Muhitaji au anae mjua Muhitaji namkaribisha PM kwa ajili ya kupeana namba za simu na direction.

#Hakikisha 2024 unabadilisha historia yako.
 
Ushapata mtu
 
Back
Top Bottom