Nyalutubwi
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 573
- 172
Du! Msigwa jana umenicha na matatizo ya mbavu kuuma kutokana na jibu lako kwa Mchemba.
Nimewahi kuandika huko nyuma kwamba Watanzania inabidi tubadilike.
Ulimwengu umetuacha mbali mno hebu fikiria eti kama kuna kongamano la wasomi duniani sisi Watanzania tutawakilishwa na watu wa aina ya Mwigulu ambao ndiyo wanaojitanabahisha kuwa ni wasomi mabingwa wa fani za uchumi.
Katika hali ya kawaida tendo la Mwigulu la Igunga lilitosha kabisa kumtoa kwenye watu makini ambao mawazo yao yanategemewa kuleta mchango fikra pevu kwa Watanzania.