Mchungaji Gwajima Kuueleza Umma Kesho kuhusu Mkenya wa Ulimboka

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la ufufuo na Uzima kesho atatoa ukweli kuhusu kilichotokea kuhusu mtu aliyekamatwa. Mtu huyo anaonekana alitumwa akamteke mchungaji huyo ambaye anaikosoa sana serikali. Kama unaweza hudhuria ibada ya kesho pale Tanganyika Packers
 
atujuze atujuze
 
oooooh, kumbe ni vile vikanisa vyetu pale Tanganyika packers? Hivi ni vikanisa vya CCM na mara nyingi kila Jumapili vinakuwa na mgeni rasmi toka CCM kutoa neno! Kwa maana hiyo hivi vikanisa ni idara ya TISS? Watu hawaogopi kumchezea mungu!
 
Ajiandae kutishwa,lakini kama yupo nao maneno yake yatamhukumu!
 
Jamani please Don't touch these People of God....si tusubiri tusikie atachosema?..
..........ila hapo,. ni bonge la ministry Advertisement
 
Hata ukiachilia mbali mahusiano ya kanisa hili na ccmagangster au TISS, utaona kuwa Ma'agent wanatumia nafasi hii kuvuta watu waende kanisani wakatoe sadaka zaidi, wawafaidishe wachungaji na familia zao.
 
Yaani imefikia mpaka wanawatumia viongozi wa dini kuupotosha umma! ccm choka mazee!
 
Tangu lini mchungaji akatangaza dhambi za waumini wake waliokwenda kutubu dhambi?????????????????
HAYA NI MAGUMASHI KABISA HILI SIO KANISA ILA KITENGO CHA USALAMA WA TAIFA.HIYO NJAMA YA CCM
 
Huyo mchongaji oh no mchungaji ni walewale, nani anajua alivyopata lile eneo la serikali? Nani anajua kilichochini ya pazia dhidi ya kipindi chake cha kuita wanaCCM kupiga story sijui kuombea? This is a childish game
 
Msimshambulie mtumishi wa Mungu, sio yeye, subordinates wake wameshtukia, hahusiki kabisa na utapeli huu! TISS wa std 7

Touch not People of God, tusubiri kesho
..Ila ni bonge la advertisement ya kanisa...baada ya Amina chifupa...sasa..Mkenya ...aisee
 
Back
Top Bottom