Mchungaji Gwajima Kuueleza Umma Kesho kuhusu Mkenya wa Ulimboka

FJM , usiwe mwepesi Wa kuongea, sidhani Kama kuna Mtu ana lazimishwa kutoa Sadaka
 
Last edited by a moderator:
FJM , usiwe mwepesi Wa kuongea, sidhani Kama kuna Mtu ana lazimishwa kutoa Sadaka

Nadhani ungekuwa sahihi kama ungesema hakuna mtu anayelazimishwa "moja kwa moja' kutoa sadaka - Anyway mahudhuria kesho yatakuwa makubwa bila shaka kwa matarajio ya kupata habari za Mkenya!
 
ana chombo cha habari kitakachorusha hiyo kitu?!!

Nilivyomsikia Ibaada inaanza mapema saa tatu hivi, ila mishale ya saa Tano yeye ndipo anapoanza kuongea, so kabla ya kuendelea Na mahubiri atafafanua kwanza utata huo, kisha baadae ataendelea Na mahubiri Kama kawaida.. Sasa Kama kuna waandishi wa Habari Na watu wengine baada ya fafanuzi lake wanaweza kuondoka, Sasa Muda wa Sadaka ni mwisho kabisa wa ibaada yote.. Sasa anayesema kwamba anaitwa Kwa Sadaka sidhani Kama atakuwa Na Busara hapa..

Mimi naona kuna mamluki wanataka kutibua Tusijue nini kiko nyuma ya Pazia..watanzania Wa Leo Tuko Na macho mingi..
 
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la ufufuo na Uzima kesho atatoa ukweli kuhusu kilichotokea kuhusu mtu aliyekamatwa. Mtu huyo anaonekana alitumwa akamteke mchungaji huyo ambaye anaikosoa sana serikali. Kama unaweza hudhuria ibada ya kesho pale Tanganyika Packers

Hongera sana kiongozi,watu wa Mungu huwa hawasemi uongo.Na kama aliungama lazima awataje wote walio husika.Big up san
 
Nilivyomsikia Ibaada inaanza mapema saa tatu hivi, ila mishale ya saa Tano yeye ndipo anapoanza kuongea, so kabla ya kuendelea Na mahubiri atafafanua kwanza utata huo, kisha baadae ataendelea Na mahubiri Kama kawaida.. Sasa Kama kuna waandishi wa Habari Na watu wengine baada ya fafanuzi lake wanaweza kuondoka, Sasa Muda wa Sadaka ni mwisho kabisa wa ibaada yote.. Sasa anayesema kwamba anaitwa Kwa Sadaka sidhani Kama atakuwa Na Busara hapa..

Mimi naona kuna mamluki wanataka kutibua Tusijue nini kiko nyuma ya Pazia..watanzania Wa Leo Tuko Na macho mingi..

ok.......nimekuelewa mkuu..ngoja hiyo kesho maana ni masaa machache yajayo.....na kupitia jf kila kitu kitakuwa wazi
 
Jamani please Don't touch these People of God....si tusubiri tusikie atachosema?..
..........ila hapo,. ni bonge la ministry Advertisement

Tatizo kubwa la JF siku hizi kuna watu wa ajabu ajabu sana, hawajajua Mchungaji atatoa tamko gani wanaanza kuongea utumbo mtupu huku! Watanzania wasomi na watu wa kawaida inaonyesha ni jinsi gani tumepungukiwa na hekima na subira, tumsubiri atakachosema tutakihukumu..Yeye mwenyewe mmesikia kuwa wachungaji wake wamemshtukia yule jamaa kuwa ametumwa kuja kuchafua Kanisa maana kuna sms wamezinasa kwake..Tuache kukurupuka
 
Kwahiyo twende Kanisani kwa wingi kesho?
..
Sidhani kama kuna Mtu aliyelezamishwa au kuitwa, nadhani kila kiongozi Wa serikali au Dini ana platform (meza/Jukwaa) la kuongea Hoja zake Na watu wake, nadhani yeye atafanya kuwafafanulia washirika wake jambo hilo ilihali Na sisi tunapata kujua zaidi mwenendo wa mpira huu..
 
Kova amejichanganya sehemu mbaya .....atajuta kulihusisha hili kanisa la gwajima..tutegemee makubwa kesho...
 
Back
Top Bottom