Mchumba (wife material) ambaye hawezi kuendesha hata genge kwasabb kutoa chenji hawezi. Je, anafaa kuwa mke?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Mteja wangu kaniandikia ujumbe ufuatao:- "Kungwi nina mhumba wangu kakulia hapa hapa mjini, siyo mshamba wa mji. Lkn shule aliishia form 2D (nadhani unajua uwezo wa kiakili wa wanafunzi wanaowekwa stream D). Hakuweza kuendelea baada wazazi wake kufariki.

Mchumba huyu ana sifa zote, tatizo lake ni kwamba atakapokuwa mke hakuna mishe anaweza kuifanya hapa mjini. Biashara yoyote hawezi kwasabb kwake yeye kutoa chenji ni mtihani.

Lkn sifa nyingine zote zinazotakiwa kwa mke huyu mchumba anazo.

Tafadhali kungwi naomba ushauri nioe au nimuache??" Alimaliza kuandika mteja wangu.

Kungwi Sexless :Nipeni points za kumpa huyu mteja.
 
Akili atatumia zake au naye bwana harusi tarajiwa hana akili?
Kama chombo inatoa mchezo kikamilifu na kufuata sheria za mwanaume aweke ndani.
 
Akili atatumia zake au naye bwana harusi tarajiwa hana akili?
Kama chombo inatoa mchezo kikamilifu na kufuata sheria za mwanaume aweke ndani.
Anadai chombo ina utiifu wa enzi za mababu. Tatizo ni ktk harakati za kujiongezea kipato ndo anahofia anaweza kushindwa kumsadia ktk biashara na mishe mingine
 
Back
Top Bottom