Mchumba finally mke wa maisha

Hahaha ujawa ambia biashara gn bado coz Ata kuuza karanga nayo n bizness so wafungukie mkuu
 
Hiyo biashara nzuri mno..kama anaweza kuuza karanga kwa mtaji wa 5000/= huyo ndo anafaa kutengeneza naye maisha...
 
Utapata ila sifa ya miaka itakuumiza maana walio chini ya 27 bado wanasoko hawatafuti waume social netwk ungeongeza zaid ya 27 hao ndo soko limeisha wanazeekea home mpk humu wanatafuta ndoa

Kumbe hivyo tena,
 
Kwahiyo humu kuna wazee tu?
 
Tukubali teknilojia ifanye kazi yake, leo mnabeza mtu kutafuta mchumba kwenye mitandao, lakini hizi ndoto hazikuwepo hapo kabla, kila kukicha mambo yanabadilika, mwisho waume na wake wataanza kuchumbiana kwa video humu humu mitandaoni
 
Kweli kabisa,
mambo yamerahisishwa..yanini kuanza kuviziana mtaani!!
 
Naona kaka kaweka vigezo kama umbo, rangi......safiii....wadada jitokezeni. Maaana tabia kaka atakupunguzia yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom