Mchina....

jamani, mbona mie nimetumia sabuni ya kuoga na makalio yameongezeka.

Sasa hivi na shape namba 8, confidence imeongezeka kabisa
 
Unajua nakutizama Neema hata sikumalizi. Na mwili huo unataka kuongeza wowowo? Si utakuwa unashinda uzito na vitz hapa mjini?
 
Dawa kubwa ni mazoezi tu Neema. Unajua skeleton za binadamu zimefanana sana, kinacho tofautisha zaidi ni muscle na fat. Ikiwa utaanza mazoezi ya kawaida kwa kupunguza mafuta alafu ufanye na body building kuongeza muscle utakua na shape nzuri tu.
Hivi makalio makubwa unataka ya nini? I personally don't like it kabisaaaa. Maybe sababu yangu hayako hivo? (Siyataki mabichi haya...)

Nawaheshimu watu wote wenaofanya mazoezi,mie siwezi kabisaaa naanza siku ya kwanza ya pili, ya tatu naingia mitini lol...anything that comes with a routine huwa kinanichosha sana akili yangu,anyway 2012 nataka nipungue kidogo nitajitahidi lol.....****** makubwa yanaattract attention...and i love it nahisi itaniongezea confidence as a woman....
 
Unajua nakutizama Neema hata sikumalizi. Na mwili huo unataka kuongeza wowowo? Si utakuwa unashinda uzito na vitz hapa mjini?

in africa the bigger the wowowo the better.....ushazamishwa na uzungu wewe sikushangai lol
 
Neema,
yaani benefits zako ulizopata kutokana na kazi ya kuwaosha wazee ulaya sasa unataka kutumia kujiharibu badala ya kufanyia kitu cha maana dadangu. Wewe hata hujiulizi ni kwanini dawa zitoke china wkt wachina wengi hata shepu hawana, mbona wao hawazitumii? Sasa wewe tafuta hizo dawa halafu muda si mrefu mwili wako utatepeta kama minyama ya kwenye mikono ya bibi/babu wa miaka 100 hivi. Halafu kumbuka, hakuna dawa itakayokusaidia kuondoa hali hiyo.

Neema mimi nakushauri uachane na mpango huo na badala yake zingatia mazoezi na lishe bora-hasa vyakula vya asili nawe utakuwa mzuri tu. Pia, jaribu kujiamini jinsi ulivyo kwani u-mzuri sana na achana na mawazo ya kuwa-artificial.

mnh kunijua isiwe tabu,kulikuwa na ulazima wa kuandika hayo niliyobold?
 
Dawa kubwa ni mazoezi tu Neema. Unajua skeleton za binadamu zimefanana sana, kinacho tofautisha zaidi ni muscle na fat. Ikiwa utaanza mazoezi ya kawaida kwa kupunguza mafuta alafu ufanye na body building kuongeza muscle utakua na shape nzuri tu.
Hivi makalio makubwa unataka ya nini? I personally don't like it kabisaaaa. Maybe sababu yangu hayako hivo? (Siyataki mabichi haya...)
Unataka kusema umepigwa pasi, then unatangaza huyataki makalio. Teh teh.............. WHISTLING
 
Mi nafikiri hata hao wanaotumia hayo madawa wanakuwa na maumbo ambayo yanaruhusu something to be done. Kuna maumbo mengine ni Leyland Daf, ukitumia hiyo mi implants unakuwa Bedford la mkaa kabisaaa...........MTIZAMO TU
 
hahaha subiri nitoke kiuno kama nyigu,miguu ya bia na wowowo la nguvu.....perfect kwa kweli lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom