mchina aua mbwa wa 5 kwa kungfu

wachina kwa mkono achana nao jamaa wapo fit mbaya. huku mtaani kuna mchina alikutana na jamaa kama 6 hivi waliokua na mijibwa mitano iliyoshiba na kupanda hewani kama wale wa polisi ilikua mida ya saa 7 usiku, wale jamaa si wakaanza kumzingua mchina ili wamkabe na kumpora lakini kufumba na kufumbua mchina yule aligeuka na kuwa JET LI na kuwagaragaza wale jamaa kama watoto wote chali chini, baada ya kuona mchina anawa jet li, ndipo wakawaamlisha wale mbwa wao wamvamie mchina sasa mchina ndipo akawa full bruce lee plus jack chan kwani wale mbwa waliambulia makarate, judo,mateke,na makungfu ya ajabu ndani ya dakika 6 mbwa wote walikua chali wameuwawa ulimi nje. mchina akaondoka zake mdogo mdogo huyoooo

Tehhhhh
 
Siyo sifa kuua viumbe wasiyo na hati bali kuvunja sheria ya kuzuia ukatili kwa wanyama, anatakiwa ashitakiwe na mamlaka husika chukue hatua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom