mchina aua mbwa wa 5 kwa kungfu

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
wachina kwa mkono achana nao jamaa wapo fit mbaya. huku mtaani kuna mchina alikutana na jamaa kama 6 hivi waliokua na mijibwa mitano iliyoshiba na kupanda hewani kama wale wa polisi ilikua mida ya saa 7 usiku, wale jamaa si wakaanza kumzingua mchina ili wamkabe na kumpora lakini kufumba na kufumbua mchina yule aligeuka na kuwa JET LI na kuwagaragaza wale jamaa kama watoto wote chali chini, baada ya kuona mchina anawa jet li, ndipo wakawaamlisha wale mbwa wao wamvamie mchina sasa mchina ndipo akawa full bruce lee plus jack chan kwani wale mbwa waliambulia makarate, judo,mateke,na makungfu ya ajabu ndani ya dakika 6 mbwa wote walikua chali wameuwawa ulimi nje. mchina akaondoka zake mdogo mdogo huyoooo
 
Uwongo mgumu kuupanga,mchina atembeee saa saba usiku,alafu wakati huyo mchina anapigana na hayo jamaa mbwa walikua wanaangalia sshow
 
mkuu acha kukariri kuwa mbwa ushambulia hovyo hovyo, mbwa wa kisasa hawazi kushambulia bila ya kuamrishwa ashambulie
 
wachina kwa mkono achana nao jamaa wapo fit mbaya. huku mtaani kuna mchina alikutana na jamaa kama 6 hivi waliokua na mijibwa mitano iliyoshiba na kupanda hewani kama wale wa polisi ilikua mida ya saa 7 usiku, wale jamaa si wakaanza kumzingua mchina ili wamkabe na kumpora lakini kufumba na kufumbua mchina yule aligeuka na kuwa JET LI na kuwagaragaza wale jamaa kama watoto wote chali chini, baada ya kuona mchina anawa jet li, ndipo wakawaamlisha wale mbwa wao wamvamie mchina sasa mchina ndipo akawa full bruce lee plus jack chan kwani wale mbwa waliambulia makarate, judo,mateke,na makungfu ya ajabu ndani ya dakika 6 mbwa wote walikua chali wameuwawa ulimi nje. mchina akaondoka zake mdogo mdogo huyoooo

video please!; teh teh the..
 
yaan ww jamaa, kila sku ni pumba tu. Yaan bora kufuga nguruwe unaweza kula kitimoto kuliko ww. Huna faida hapa dunian
 
wachina kwa mkono achana nao jamaa wapo fit mbaya. huku mtaani kuna mchina alikutana na jamaa kama 6 hivi waliokua na mijibwa mitano iliyoshiba na kupanda hewani kama wale wa polisi ilikua mida ya saa 7 usiku, wale jamaa si wakaanza kumzingua mchina ili wamkabe na kumpora lakini kufumba na kufumbua mchina yule aligeuka na kuwa JET LI na kuwagaragaza wale jamaa kama watoto wote chali chini, baada ya kuona mchina anawa jet li, ndipo wakawaamlisha wale mbwa wao wamvamie mchina sasa mchina ndipo akawa full bruce lee plus jack chan kwani wale mbwa waliambulia makarate, judo,mateke,na makungfu ya ajabu ndani ya dakika 6 mbwa wote walikua chali wameuwawa ulimi nje. mchina akaondoka zake mdogo mdogo huyoooo

Inaelekea tukio hili uliliona mwanzo hadi mwisho. Wakati tukio hili linatokea wewe ulikuwa wapi? Nyumbani kwako au machakani? Au wewe ni miongoni mwa hao jamaa 6 waliokalishwa na 'mchina'?
 
Inaeleke yukio hili uliliona mwanzo hadi mwisho. Wakati tukio hili linatokea wewe ulikuwa wapi? Nyumbani kwako au machakani? Au wewe ni miongoni mwa hao jamaa 6 waliokalishwa na 'mchina'?

mkuu nimepata full ripoti kutoka chanzo cha kuamini waliopigwa na kwa mchina mwenyewe
 
Hivi una miaka mingapi mkuu..?
au ndo homework uliyopewa leo huko
vidudu unakosoma...?

wachina kwa mkono achana nao jamaa wapo fit mbaya. huku mtaani kuna mchina alikutana na jamaa kama 6 hivi waliokua na mijibwa mitano iliyoshiba na kupanda hewani kama wale wa polisi ilikua mida ya saa 7 usiku, wale jamaa si wakaanza kumzingua mchina ili wamkabe na kumpora lakini kufumba na kufumbua mchina yule aligeuka na kuwa JET LI na kuwagaragaza wale jamaa kama watoto wote chali chini, baada ya kuona mchina anawa jet li, ndipo wakawaamlisha wale mbwa wao wamvamie mchina sasa mchina ndipo akawa full bruce lee plus jack chan kwani wale mbwa waliambulia makarate, judo,mateke,na makungfu ya ajabu ndani ya dakika 6 mbwa wote walikua chali wameuwawa ulimi nje. mchina akaondoka zake mdogo mdogo huyoooo
 
tn.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom