Mchina ampiga Ofisa Uhamiaji, kazimia

Huyo Mussa Mkubwa Abdallah ana umri gani? Manake kama ni kijana (chini ya miaka 60) nitamlaumu kwa nini hakupigana na huyo Mchina.

Mimi siwezi nikapigwa na mtu. Tutapigana. Hata kama ukinishinda lakini lazima nikutoe damu sehemu.

mbona ulikuwa unawaogopa wale majeba na masalo pale vidudu?
 
Wee afisa umezidi movie za kichina siku hizi zimeenea kila kona hujawahi ona hao jamaa wanavyo piga?acheni kabisa mchina hana kesi ya kujibu.
 
Back
Top Bottom