Mchina ampiga Ofisa Uhamiaji, kazimia

Huyo Mussa Mkubwa Abdallah ana umri gani? Manake kama ni kijana (chini ya miaka 60) nitamlaumu kwa nini hakupigana na huyo Mchina.

Mimi siwezi nikapigwa na mtu. Tutapigana. Hata kama ukinishinda lakini lazima nikutoe damu sehemu.
chezea KUNG FU PANDA wewe
 
Bila shaka alikua analazmisha mlungula. Lakini hao maofisa wanaolinda wageni waishio 'iligale' nchini kwanini waspigwe chini?
 
Hapa ni suala la uzalendo!!
Kwa nini huyu Mchina ampige mTZ?
tena ndani ya ardhi yake? na mbaya kabisa afisa uhamiaji?
hapana huyu mchina kwa vyovyote aondoshwe nchini, pumbafu zake
Hakuna kuremba, naringa kuwa mTZ hasa ndani ya nchi yangu sintadharauriwa kiasi hiki
 



wabongo wanadhana kwamba kila mchina anacheza kong fu! .. kumbe wala sio kweli.. hata mimi jamaa namuona mpuuzi apigwe hadi apoteze fahamu!

mwanaume unapigana ukizidiwa unakimbia ...



Kwenye bold nimekukubali Miguu inalipa sana!
 
Kapigwa kwa ujinga wake.wao wenyewe ndo wanajivunjia heshma zao kwa njaa njaa zao.unadhan mchina ni mwehu kumpa grand kichapo kichapo huyo afisa? Hao jamaa huwa wanaomba rushwa mpaka inatia kinyaa!. Hawana na wala hawaonyeshi uzalendo wanapoomba rushwa sasa wakila kichapo sisi ndo tuwe wazalendo ku'simpasaiz' nao? NO.NEVER!
 
Ingekuwa kwetu huku. Huyo mchina angekuwa maiti isiyotambulika. Si rahisi kwa mgeni kutamba ndani ya nchi yetu. Kwanza wazawa kisha wageni ndio sera inayoongoza.

Poleni sana.
 
Unayajua makali ya rushwa kutoka imigration officers?, sisi wazalendo huyazima makali ya rushwa kwa kuongeza rushwa, china hakuna rushwa. Nadhani wakipigwa zaidi huenda wakapunguza kudai mlungula kwa nguvu.
Hapa ni suala la uzalendo!!
Kwa nini huyu Mchina ampige mTZ?
tena ndani ya ardhi yake? na mbaya kabisa afisa uhamiaji?
hapana huyu mchina kwa vyovyote aondoshwe nchini, pumbafu zake
Hakuna kuremba, naringa kuwa mTZ hasa ndani ya nchi yangu sintadharauriwa kiasi hiki
 
Hapa ni suala la uzalendo!!
Kwa nini huyu Mchina ampige mTZ?
tena ndani ya ardhi yake? na mbaya kabisa afisa uhamiaji?
hapana huyu mchina kwa vyovyote aondoshwe nchini, pumbafu zake
Hakuna kuremba, naringa kuwa mTZ hasa ndani ya nchi yangu sintadharauriwa kiasi hiki

Sio kwa kuondolewa kama Bibi au Bwana harusi.

Ni lazima apewe kipigo cha dakika mbili cha Mwizi ili iwe fundisho kwake na wengine watakaothubutu kumnyanyasa raia ndani ya ardhi yake kisha kumfurusha kwa nguvu zote.

Uzalendo na uzawa kwanza, wageni baadae.

 
Nimeangalia kitendo cha kupigwa mTZ ndani ya nchi yake, suala la rushwa sijaliona kwenye thread kama lipo halijazungumzwa, tukiwachekea hawa wageni ndio watatu CAMEROON bila aibu
 
Mi ni mwanamke lakini kamwe nisingekubali heri nipigwe na mtz mwenzangu,lakini kamwe mzungu au foreigner hawezi jaribu katika ardhi yangu,kha inatosha haya manyanyaso hivi si wafukuzwe tu hawa?jamani sipendi dharau,

wewe ni afisa uhamiaji au hujawahi kwenda ofisi za uhamiaji!
 
Ingekuwa kwetu huku. Huyo mchina angekuwa maiti isiyotambulika. Si rahisi kwa mgeni kutamba ndani ya nchi yetu. Kwanza wazawa kisha wageni ndio sera inayoongoza.

Poleni sana.

unachokisema ndio kipo hata hapa kwao
huwezi hata siku moja ukampiga mchina akiwa ktk nchi yake,polisi watakuuliza umepata wapi nguvu ya kumpiga mchina tena ktk ardhi yake? hata kama amekukosea huwezi rusha ngumi,utarudishwa ndani ya masaa 24 kwenu
sijui kwa Tz mambo yakoje
 
Hapa ni suala la uzalendo!!
Kwa nini huyu Mchina ampige mTZ?
tena ndani ya ardhi yake? na mbaya kabisa afisa uhamiaji?
hapana huyu mchina kwa vyovyote aondoshwe nchini, pumbafu zake
Hakuna kuremba, naringa kuwa mTZ hasa ndani ya nchi yangu sintadharauriwa kiasi hiki

Hata kama umelazimisha rushwa?
 
Ivi mpaka sasa uyo Mchina yuko wapi?
Nataraji awe yuko sero whether alidaiwa rushwa au lah
Hii ni zarau ya wazi wazi we can not be cheap to that extent jamani.
Ila uyu aliyepigwa nae si ni askari kashindwa ata kujibu sasa kama ingekuwa China si ata wangemcameroun
 
Kung fu za kwenye sinema haziko applicable katika street fighting. Kwenye street fighting hakuna cha babake kung-fu wala mamake karate.

Kwenye street fighting anything goes...vitofa, vyupa, vipisi vya mbao, kung'ata, kubinya kende, kurusha viti, na hata kukimbia kumo. Sielewi kabisa hii dhana ya huyo afisa uhamiaji kupigwa hadi apoteze fahamu.

Ina maana hakuwa na wenzake hapo alipopigiwa? Kama wenzake walikuwepo kwa nini hawakumchangia huyo Mchina? Au achana hata na kumchangia, kwa nini hawakuamulia mapema?

Miafrika bana....daaaah.

hahaaaaaaa! kweli anything goes!
 
nchinchi chei ehe...Wachina wabisi sana.Ila na hao jamaa wa Uhamiaji njaa yao itawauwa..Mchina ameishasikia mkwara wa Waziri wa Mambo ya ndani no kuto rushwa kwa mtu yoyote
 
ingekuwa kwetu huku. Huyo mchina angekuwa maiti isiyotambulika. Si rahisi kwa mgeni kutamba ndani ya nchi yetu. Kwanza wazawa kisha wageni ndio sera inayoongoza.

Poleni sana.

aghhhhhhh!
Hata wachina wanajua
sheria si kuomba rushwa hovyohovyo
tena kwa mtu aliepewa
dhamana ya kulilinda
taifa lake! Walijua
kabisa huyi io yupo
nje ya mstari
na ndo mana
wakamfletisha!
Akome na hao wachina
wawatembezee kabari
za kutosha ili waache
upmbav.aghhhhhh
 
Back
Top Bottom