Mchezo wa NGUMI

Exaud J. Makyao

JF-Expert Member
Nov 30, 2008
1,518
22
Wana michezo mbali mbali,
Hivi mchezo wa ngumi ni wa kibinadamu kweli?
Naona kuwa lengo la mabondia wawapo ulingoni ni kuhatarisha maisha ya wenzao.
Mbona sioni kama mchezo huu ni wa kibinadamu?
Damu humwagika mara nyingi.
Mwasemaje wadau?
 
Back
Top Bottom