Mchezo mchafu wa ccm na cuf dhidi ya chadema!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Hakuna asiyetambua hofu na uoga uliopo miongoni mwa wanachama na viongozi wa juu wa CCM NA CUFdhid ya chama chenye wapenzi wengi na kinachoaminika miongoni mwa vijana na wananchi masikini watanzania CHADEMA! Ni wazi vyama hv viwil vimechoka na havina jipya kwa watz, wamejenga mafisadi na watu wenye viburi ktk chama chao, CHADEMA imejijengea HESHIMA KWA WATANZANIA KWA KUTAMBUA SHIDA NA MATATIZO YAO KWA KUWAPA MATUMAINI. CCM NA CUF walipata hyo bahati wameichezea sasa wamebaki wanajiliza na kujenga unafiki majukwaan mpaka sasa Bungeni ni mipasho badala ya hoja. Michozo yao michafu wananchi tumeisha ibaini. Wafanye siasa waache majungu, wafate nyayo za wenzao WABUNGE WA CHADEMA!
 
Back
Top Bottom