Mchawi ajiroga mwenyewe.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Mchawi mmoja alikuwa akiwatesa raia wa kijiji kimoja huko sumbawanga.Walijaribu kila jinsi kumuua lakini ilishindikana kwani alikwepa mitego yote.>>>>> Siku moja raia walimvizia akiwa shambani analima.Wakiwa wamejificha kichakani walimshuhudia akijisaidia porini kisha akaondoka zake kurudi home.Wale jamaa walizoa kile kinyesi,wakavizia mida ya usiku wakapaka kinyesi mlangoni kwa yule mchawi na kingine wakakiacha kwenye ngazi.>>>>>>>>>>> Alipoamka asubuhi,yule mchawi akakumbana na kile kinyesi.Akashindwa kuvumilia ile dharau,akachukua sample ya kinyesi,akafanya dawa zake kisha akamwambia mkewe;huyu aliyekunya mlangoni kwangu hataliona jua likizama leo.Hazikupita hata dakika tano,yule mchawi alianguka na kufa pale pale.[True story from Sumbawanga].
 
Babaa Pi*da wanalisema kabila lako huku jf, njoo usome.

Nimemwambia Baba eh lelo anakuja, anakuja anakuja.
Baba yangu mkali nyie usione anajibu majibu bungeni kwa hekima afu sa hizi kazimwa hata hasikiki. Akishika fimbo nyumbani ana2chapa huyoo! Sasa ngoja aione hii atawapiga piga piga piga wooote nyie. We ngoja aje tu.
 
hahahahahaha, hata sijui nicomment nini hapa...
Kwa hiyo ni true story? una data zote? mbona hujapeleka science and technology umeleta jokes and udaku?
 
hahahahahaha, hata sijui nicomment nini hapa...
Kwa hiyo ni true story? una data zote? mbona hujapeleka science and technology umeleta jokes and udaku?
Kuna rafiki yangu mmoja anafanya shughuli za kununua ulezi sumbawanga vijijini ndo kanipa mkasa mzima.
 
Haaa walitumia akili vibaya sana.

hawakutumia akili walitumia uchawi maana kwanza na wawo walikuwa wachawi na pili inasemaka walikuwa wameshazungu kila mahali kumtafuti dawa kwahiyo hapo ndio mile dawa yao ilifanya kazi ikawaelekeza kufanya hivyo na hatimaye dawa yao ikashi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom