"CLICK TO SEE ME NAKED" are you a woman ?
Kwa jinsi Kikwete anyopenda kusafiri huyo mpiga pasi na mpishi wamelamba bingo, hayo marupurupu hata doctor or engineer hakamati hapo
Ndege gani round trip to brazil ni usd 590? Hii inaonesha huu ni upishi tu huu, posho haziwezi kuwa flat...
Jamani raisi wa nchi asipokwenda na mpiga pasi wake ni nani atampigia pasi????
Lazima awe na mpiga pasi ili asivae nguo zilizojikunja sawa jamani.... maraisi woteeee duniani wanasafiri na personal assistants wao wamojawapo ndiyo hao wapiga pasi, waonja vyakula, wapaka mekapu usoni... ect, etc
yaan hana lolote kwa kweli ni kupiga majungu tu kwa kweli sasa safari zote za nn? yaan bora atoke madaraka alaf miaka mitano mingi kwa kiongozi mbovu kama huyu
Ndio maana mimi niko tayari kuacha kazi yangu niwe mpiga pasi wa Rais
tanzania nchi tajiri lakini viongozi wamekuwa mzigo kwa wananchi rais anazurura tu kama ndyo waziri wa mambo ya nje wa marecanyaan hana lolote kwa kweli ni kupiga majungu tu kwa kweli sasa safari zote za nn? yaan bora atoke madaraka alaf miaka mitano mingi kwa kiongozi mbovu kama huyu