Mchanganuo wa gharama ya Safari ya Rais Kikwete huko Brazil huu hapa

yaan hana lolote kwa kweli ni kupiga majungu tu kwa kweli sasa safari zote za nn? yaan bora atoke madaraka alaf miaka mitano mingi kwa kiongozi mbovu kama huyu
 
Jamani raisi wa nchi asipokwenda na mpiga pasi wake ni nani atampigia pasi????

Lazima awe na mpiga pasi ili asivae nguo zilizojikunja sawa jamani.... maraisi woteeee duniani wanasafiri na personal assistants wao wamojawapo ndiyo hao wapiga pasi, waonja vyakula, wapaka mekapu usoni... ect, etc
 
Kujipa moyo ni kwamba pamoja na kula vyote hivyo, hawaja mfikia gadafi na he is no longer.....
 
Nilipoona taarifa hii nimekumbuka kijijini Mngeta-Mchombe na maeneo ya jirani kwetu wakinamama wajawazito wanavyojifungulia njiani kisa barabara mbaya,yani natamani kulia,anachofanya anajikomoa.WATANZANIA TUAMKE NA TUSEME BASI KWANI RAIS KWA MADUDU HAYA ANAWEZAJE KUWAWAJIBISHA MAWAZIRI WAKE,NAWASIHI MAWAZIRI NANYI SEMENI MNACHOFAHAMU KUSUSU MKUU WA KAYA.:yo:
 
Ndege gani round trip to brazil ni usd 590? Hii inaonesha huu ni upishi tu huu, posho haziwezi kuwa flat...

Adam Msafiri,
Kumbuka hizi ni estimates Mkuu. Hata kama ukifanya adjustmates ya hizo posho bado kuna vitu vingi ambavyo tumeoverlook ambavyo navyo ukiviingiza gharama halisi zinapindukia Milioni 400! Soma maoni ya wachangiaji kuanzia page ya kwanza hadi mwisho utaona vitu ambavyo sijaviweka.
 
Jamani raisi wa nchi asipokwenda na mpiga pasi wake ni nani atampigia pasi????

Lazima awe na mpiga pasi ili asivae nguo zilizojikunja sawa jamani.... maraisi woteeee duniani wanasafiri na personal assistants wao wamojawapo ndiyo hao wapiga pasi, waonja vyakula, wapaka mekapu usoni... ect, etc

mh tester? Mapoudaaa!
 
Malipo ni hapa hapa duniani! Wako wapi akina Gadafi na kujilimbikizia mali kote,, kila mtu atakufa tu na kuacha kila kitu hapa duniani! Kweli Tanzania ni Nchi ya kusadikika. Tumechoshwa na Udhalim wa Viongozi wetu, ni wakati wa kuxema Inatosha sasa. Tubadilike, saa ya kuamka Usingizini ni sasa tuwakatae Viongoz wa design hii!
 
Hatari, mtumishi wa serikali kwenye nafasi kubwa tu akienda nje ya Tanzania "analipwa mavazi dola 300 kila baada ya miaka mitatu". Per diem sidhani kama inazidi dola 100.

Hata hivyo, kuipata hiyo hela ni kasheshe. Utaenda kwa gharama zako na utakuja kurudishiwa baada ya mwaka mmoja kupita!
 
yaan hana lolote kwa kweli ni kupiga majungu tu kwa kweli sasa safari zote za nn? yaan bora atoke madaraka alaf miaka mitano mingi kwa kiongozi mbovu kama huyu

acha wivu,ww unaesema hivyo huenda hata familia yako imekushnda.
 
yaan hana lolote kwa kweli ni kupiga majungu tu kwa kweli sasa safari zote za nn? yaan bora atoke madaraka alaf miaka mitano mingi kwa kiongozi mbovu kama huyu
tanzania nchi tajiri lakini viongozi wamekuwa mzigo kwa wananchi rais anazurura tu kama ndyo waziri wa mambo ya nje wa marecan
 
Useless trips. Tulichgua mcheza ngoma tunashuhudia majando. Mzee wa maamuziu magumu alishasema kila kitu ni uswahiliswahili tu.
 
Halafu TRA wakija kwenye kiduka changu wanajifanya wakalii kumbe hela yenyewe ndo kama ivo zinavyotumiwa.
 
Back
Top Bottom