Mchakato wa kurejesha mali za CCM kwa wananchi

mkuu, kwasasa hatuwezi kuzipata hizo mali, vumilia kidogo watoke madarakani watakuwa naka KANU.
"There is no time to loose" that is how others put it ....do Tanzanian have time to loose!!!???
 
Mali nyingi zinazodaiwa ni mali ya ccm,zilikua mali ya TANU, wakati ambao hakkua na vyama vingi na wananchi walijenga vtega uchumi bila ya itikadi ya vyama,hasa kw ktmia policy ya ujamaa ambayo ilikua na nguvu kubwa wakati huo.
Kwanini ccm waseme mali ni zao badala ya kusema ni za umma kama ilivo kwa national housing? ,vipi ccm hawanyang,I haki ya wananch ambao hawana vyama nikiwemo mimi? Wadau leteni mawazo hapa hiki chama kirudishe mali zetu!!
 
Amani iwe nanyi, nawaomba chama cha mapinduzi kijitafakari na kurejesha Mali za wanyonge ilizotaifisha enzi za mfumo wa chama kimoja.

Mali hizo ni viwanja vya michezo na majengo. Naomba kuwasilisha ova.
 
Amani iwe nanyi, nawaomba chama cha mapinduzi kijitafakari na kurejesha Mali za wanyonge ilizotaifisha enzi za mfumo wa chama kimoja.

Mali hizo ni viwanja vya michezo na majengo. Naomba kuwasilisha ova.
Ngoja kwanza wazihakiki tukishajua idadi yake ndipo tutakapodai vizuri.
 
Alafu hivi viwanja havijatusaidia kitu. Nchi haina athletes na sportsmen wa maana kabisa.
Hayati Franz Fanon( The Wretched of the Earth) aliyaona haya. Ingekuwa bora kama hivyo viwanja vingekuwa maghala ya nafaka.
 
Hatuna muda mwingine wa kuamua haya! Muda ni sasa, hatuja chelewa kama tunavyofikiri, tukizidi kupiga danadana ndio tunazidi kujichelewa! Wazo limekuja muda muafaka tuongeze shinikizo kwenye hadidu za rejea ili muswada mpya mambo hayo yaingizwe. Hatuwezi kuendelea kuvumilia zulma kutoka kwa ma ccm na kupenda kwao kuvimbiza matumbo kwa kunyang'anya na kujimilikisha hata visivyo vyao kama chama. Babu yangu na bibi yangu walishiriki kujenga kama umma wa kitanzania na si kama wanachama wa ccm kwa nini ziwe za chama?
Machozi yamenitoka baada ya kusoma hii comment! Kuna watu tumewapoteza hapa ambao kutokuwepo kwao mnaweza kuwa mashahidi kumetupunguza nguvu.
Tambwe Hiza kafariki baada ya kupitia vyama vingine lakini mwishoni kakiri kwamba atajiona mwenye haki mbele ya Muumba wake kwa kufia sehemu ya haki. RIP Alphonce Mawazo, RIP Mohamedi Mtoi.

CC: Godbless J Lema, Joseph Mbilinyi, Bulaya, Mbowe nk
 
Kutaifishwa ndio mpango mzima..........hata kama vilikuwa ni vya Tanu then CCM ambayo kilikuwa chama pekee hivyo hakukuwa na tofauti kati ya serikali na chama hivyo basi ni muda muafaka kuvirudisha kwa umma........:rip:CCM hahahahahah twataka urithi wetu kwani tushaona nyie mwafa sasa msije mkatupa tabu katika mirathi........:yield:
Haya mawazo bado ni relevant, utekelezwaji wake ni sawa na dunia inavyotusubiri kwenye uchaguzi wa majimbo ya Siha na Kinondoni kujua kama kuna binadamu wenye IQ chini ya 1/100 hapa duniani!
 
Back
Top Bottom