Mch. Venon Fernand wa Agape TV anataka asamehewe deni la 5bils kutoka TIB

AMA kwa hakika mtu mzima akivuliwa nguo kadamsini huchutama na kujaribu kuplay-down aibu yake. Ndio kinachotokea hapa, hata hivo nafurahi umejifunza kutokudandia treni kwa mbele.

Kwakwakwaakwaaaaaakwa, ulijidai "tumevumbuwa" kompyuta, nikakupa links, nna uhakika umepitia huko na umekushuka. Sasa unajitia pambani. Sikisii.
 
Kwakwakwaakwaaaaaakwa, ulijidai "tumevumbuwa" kompyuta, nikakupa links, nna uhakika umepitia huko na umekushuka. Sasa unajitia pambani. Sikisii.
Hujui kuwa hujui, umechomekea links ambazo hazijibu hoja yoyote, nikatulia nikadhani utaelewa, kumbe ndio walewale..

Sasa sufuri ndio compyuta?hata sufuri inasemekana concept yake ilishakuepo huko Uhindini way before hata Usilamu haujabuniwa na naniliu. Pia hizo inventions za al Jazira hazina uspesho wowote kwa sababu hata wamisri walishakuwa na hydraulics inventions zao kabla hata waarabu hawajajua kutawadha kwa maji, na the oldest water clock ipo India..

What a fool.
 
Nchi yetu imekubwa na janga la kitaifa nalo ni kuibuka kwa waganga wa kienyeji kupitia mgongo wa dini ambao kazi yao kubwa ni kukusanya sadaka kutoka kwa wananchi maskini wa Tanzania kwa kisingizio kuwa wanatoa uponyaji.Hawa waganga ni kama mzee wa upako,ferdinandes,mwingira na baba yao kakobe.Inashangaza kuona serikali iko kimya kuhusu hawa waporaji wa wananchi kwa mgongo wa dini.

Great thinker huwa anafanya utafiti na kumwaga takwimu kipi kinakufanya uwaite watumishi wa Mungu waganga wa kienyeji. Waganga wa kienyeji ni watumishi wa shetani tu, na kwa shetani huwa hakuna uponyaji hata siku moja ni ulaghai na kuwafanya watu mateka wake ili wamwasi Mungu ili awapeleke motoni ambako atakuwako yeye milele yote. Lakini watumishi uliowataja wanalitaja jina la Yesu ndipo watu wanapona sasa unawaitaje waganga wa kienyeji wakati anayeponya ni Yesu? Angalia usije ukawa anafanya kazi ya shetani mwenyewe. Kwa taarifa yako katika maombezi hayo unayoyakashifu kuna watu wamepona UKIMWI ambao sasa ni kiboko ya sayansi na mpaka sasa wameishi makumi ya miaka wakiwa negative na hili sio la mtu kupanda madhabahuni na kushuhudia halafu watu wanapiga makofi, imethibitishwa na hospitali kubwa hapa nchini.
Kumbuka pia katika makanisa haya linahubiriwa neno la Mungu lililo hai watu wanafanywa maaskari imara wa kupambana na kusambaratisha kazi za shetani, fanya uchunguzi uone kinachoendelea makanisani na sio kutoa tuhuma za uongo kama vile wewe ni msaidizi mkuu wa shetani
 
...wengi watakuja kwa jina langu...
 
Usihukumu usije ukahukumiwa,tukumbuke kuwa hata watumishi wa Mungu ni binadamu na wanaishi ktk dunia yenye vishawishi kama tunayoishi wengine wao sio malaika,kikubwa ni kuwaombea sana kwakua shetani hana shida na wewe ulie wake ana shida na wanaompinga ili awaangushe.
Pia tukumbuke kua hawa watumishi wa Mungu wanaishi maisha ya kawaida kama sisi wanahitaji mahitaji yote muhimu kama chakula,malazi ,mavazi nk hvi wasipokua na miradi na wao sio waajiriwa wataishije?JAMBO LA KUA NA MIRADI SION TATIZO KWA UPANDE WANGU.
 
Hizi ni taarifa za ndani za kibenki wewe umezitoa wapi au unamchukia huyu mchungaji mbona wakati anakopa kama ni kweli hukutuarifu

Mkuu unajua maana ya 'habari' - mfano Mbwa kumuuma binadamu siyo 'habari', lakini binadamu kumuuma Mbwa ni 'habari' ya kuwashughulisha watu hata kutaka kujua undani wake.
 
Bold ya kwanza: Mungu hafanyi kazi kama siye wanadamu dhaifu.
Kila kitu ni mali yake - hahitaji miradi yoyote.
Kumbuka tulishalaaniwa tutakula kwa jasho na haijalishi
wewe ni mtumishi wa Mungu.Watumishi nao ni watu kama
wewe na mimi, wana mapungufu yao kama binadamu.

Bold ya pili - you are absolutely right! Kila wakifanyacho watumishi
siyo lazima ni mapenzi ya Mungu.Vingine ni matakwa na utashi wao tu.Ikiwa
Fernandes alichukua mkopo na sasa unampelekesha puta, hadi kufanya mambo kama hayo,tumhurumie tu ni binadamu kama wengine.Atapambana na mfumo kama wengine.
kumbe kama mtumishi wa mungu hana tofauti na wewe na mimi uspecial wake nini? Nakama anahangaika kama watu wengine kisa cha kumtetemekea na kumkabidhi fedha kila uchao nini? Hapo ndo wafuasi walitakiwa kuelewa kuwa duniani humu mungu anasikiliza na kutenda sawa kwa wote so hakuna anayetakiwa kudai uagent.
 
Imekuwa mtindo siku hizi hawa watumishi kuingia kwenye biashara. Ule mlipuko wa TING nilijua sio bure kumbe Kavuta mkopo. Kwa sasa bora kuwa neutral maana hatujapata uthibitsho wa habari hii. Yawezekana na ni vita vya madhabahuni............
 
Maumboumbo mauongouongo ujingajinga Mie hata Sijui kitu gani tumepaliwa nacho wabongo kiasi kwamba Mtu anakurupuka na kumwagilia upupu wenye uozo wa uongo JF.
 
Niye wote hamjui chochote. Mimi nafanya kazi Tanzania Investment Bank hapa Dar es Salaam. Yaani mbona unamharibia jina la mtu hivyo? Mta pata laana kwenye maisha yenu. Kweli, uwe na hofu ya Mungu. Huyo Mtume Fernandes anatembea na Upako wa Mungu na ukifika kanisa lake ya Agape utaona Muujiza mbele ya maacho yako. Mungu ampe nguvu Mtume Fernandes
 
Fernandes ni wheeler-dealer, big time! Hilo kanisa analoendesha has very little to do with god, if any! Ni biashara yake na mkewe, sasa mambo yanaanza kuwa mazito tunaona anakuja na strategy ya kumshambulia Mwl Nyerere ili kupoteza mada. Mkopo uko pale pale rudisha hela za watanzania wanyonge!

Chezea hindi type weye.? Wanaitafuta noti kwa njia zote
Nuruni na gizani ....
 
Acha Kukashfu Watumishi Wa Mungu Wewe,utapata Laana Bure.

Kama wako ovyo watasemwa tuu. Kama ni kweli bac mtumishi wa ukweli hawi na issue ndizo sizo.! Nasema tena siku hizi utumishi ni mradi na ndo mana yanakuja hayo.sasa watafutaji kama huyo na kwa njia hiyo kwa nini asisemwe kama wengine.?! Lusekelo kasemwa juzi kati hapa au hukuona.? Au kwa kuwa vernon.? Wa wapi weye.?!
 
mch veno fernandes wa agapr tv alikopa tshs 5bils kutoka tanzania investment bank na sasa ameandaa nyaraka za uongo kuonyesh kwamba ameingia hasara katika miradi yake na hivyo kutaka benk imufikirie kuhusu kurejesha fedha hiyo.

Kutokana na nyaraka alizowasilisilisha inaonyesha kuwa amepata hasara kubwa sana kwenye miradi yake!!!!!!!!!

mtume kakopa?
 
Back
Top Bottom