Mch. Venon Fernand wa Agape TV anataka asamehewe deni la 5bils kutoka TIB

Soma hapa chini manabii wa ukweli !
..........(Nabii Ibrahim alimuonya Baba yake Mzazi aache kuabudu Masanamu, Baba yake akamfukuza. Ibrahim akaamua.........) Basi alipojitenga nao na yale waliyokuwa wakiyaabudu badala ya Mwenyezi Mungu, tulimpa Is-haq (Isaka) na Yaakub (Yakobo) na kila mmoja tukamfanya Nabii. Na tukawapa rehema zetu na tukawajaalia kupewa sifa za kweli na tukufu.
Na mtaje
Mussa (Moses) katika kitabu (Quran). Hakika Yeye alikuwa ni mwenye kuchaguliwa, na alikuwa Mtume, Nabii. Na tulimwita upande wa kulia wa mlima (Sinai) na tukamsogeza kunong'ona naye.
Nasi kwa rehema zetu tukampa nduguye,
Harun, awe Nabii.
Na mtaje katika Kitabu (Quran)
Ismail. Bila shaka Yeye alikuwa wa ahadi, na alikuwa Mtume, Nabii. Na alikuwa akiamrisha watu wake sala na kutoa Zaka, na alikuwa mbele ya Mola wake Mwenye kuridhiwa.
Na mtaje katika Kitabu (Quran)
Idris. Hakika yeye alikuwa Mkweli, Nabii. Na tulimuinua daraja ya juu.
Hao ndio aliowaneemesha Mwenyezi Mungu, miongoni mwa manabii katika uzao wa Adam, na katika uzao wa wale tuliowapandisha pamoja na Nuhu (katika Safina) na katika uzao wa Ibrahim na Israil na katika wale tuliowaongoa na tukawateuwa (watu wema). Wanaposomewa Aya za Mwingi wa Rehma huanguka kusujudu na kulia. Quran: Maryam:48-58.
Walio haribu dini ni hawa:
..........Lakini wakaja baada yao walio wabaya, wakaacha sala, na wakafuata matamanio (ya kilimwengu). Basi watakuja kupata malipo ya ubaya. Quran: Maryam: 59.
...........Hao Manabii (Mwingira, JKB, Ndege, Kakabe, Vernon, TB Joshua na wengineo), sie Waislaam tunawaona "ZE COMEDY"

Waswahili tuna msemo wetu " WAJINGA NDIO WALIWAO" waache wamchangie jamaa yuko smart anajua kuwa BRAIN WASH: siku hizi kuna MTUME FLORA kaibuka anali promote kanisa lake ktk magazeti ya shigongo anakula vichwa kama hana akili nzuri, kajichubua huyo yuko materialistic kinoma yani. waswahili husema " HAMJUI KUSOMA HATA PICHA HAMUELEWI. WAACHE WALIWE MKUU
 
hapo sasa nashindwa kusema kitu, ila sio vema kusema watumishi wa Mungu iko kazi mwachie Mungu mwenyewe ndie atakayemuhukumu
 
Naona sas watanzania wenzangu tunaamka kutoka usingizini "Hawa wote wenye makanisa ya kizushi ndio dili zao hizo" nimefuatilia ni nimekutana na mengi yasiyoingia akilini ukiuliza utaambiwa yote haya yanafanyika kwa uweza wa Roho Mtakatifu. Jambo la kujiuliza ni kwa nini sasa na sio siku hizo?
 
Hivi kuna Dhambi gani M2 kukopa?

Kama hawezi lipa itakuwa Dhahiri kwamba issue ya Ting imemuendea kombo coz ndio biashara kubwa aliyo nayo.

Ila tujiulize ilikuaje akapata Mkopo wa 5 bils. Hapa ndio panaweza kuwa na Utata.
 
Sijui kwa TIB, lakini nijuavyo mimi, benki inapokukopesha lazima itakufuatilia kuhakikisha unalipa mirejesho yako, bila kufanya hivyo, benki yenyewe si itaingia matatizoni? Kwa maana hiyo inawezekana huyu "Nabii na Mtume" amerudisha sehemu ya mkopo. Niko tayari kusahihishwa!
 
Sidhani kama ving'amuzi vyaweza kugharimu kiasi hicho chote cha fedha. Bila shaka kama bil 5 zilienda kwenye miradi mingine kama ya TV na kuweka jengo la kanisa. Hata hivyo ni vema wenye kuthamini kazi yake tukanunua ving'amuzi kwa wingi (kama kweli ndiyo ilikuwa lengo) ili kupata hela za kulipia deni
U r jokin', right?
 
Soma hapa chini manabii wa ukweli !

Nabii wa Kwanza kwa Waislaam ni ADAM A.S

..........(Nabii Ibrahim alimuonya Baba yake Mzazi aache kuabudu Masanamu, Baba yake akamfukuza. Ibrahim akaamua.........) Basi alipojitenga nao na yale waliyokuwa wakiyaabudu badala ya Mwenyezi Mungu, tulimpa Is-haq (Isaka) na Yaakub (Yakobo) na kila mmoja tukamfanya Nabii. Na tukawapa rehema zetu na tukawajaalia kupewa sifa za kweli na tukufu.
Na mtaje
Mussa (Moses) katika kitabu (Quran). Hakika Yeye alikuwa ni mwenye kuchaguliwa, na alikuwa Mtume, Nabii. Na tulimwita upande wa kulia wa mlima (Sinai) na tukamsogeza kunong'ona naye.
Nasi kwa rehema zetu tukampa nduguye,
Harun, awe Nabii.
Na mtaje katika Kitabu (Quran)
Ismail. Bila shaka Yeye alikuwa wa ahadi, na alikuwa Mtume, Nabii. Na alikuwa akiamrisha watu wake sala na kutoa Zaka, na alikuwa mbele ya Mola wake Mwenye kuridhiwa.
Na mtaje katika Kitabu (Quran)
Idris. Hakika yeye alikuwa Mkweli, Nabii. Na tulimuinua daraja ya juu.
Hao ndio aliowaneemesha Mwenyezi Mungu, miongoni mwa manabii katika uzao wa Adam, na katika uzao wa wale tuliowapandisha pamoja na Nuhu (katika Safina) na katika uzao wa Ibrahim na Israil (Yesu, Yohana Mbatizaji, Yusuf, Eliya na wengineo) na katika wale tuliowaongoa na tukawateuwa (watu wema). Wanaposomewa Aya za Mwingi wa Rehma huanguka kusujudu na kulia. Quran: Maryam:48-58.

Walio haribu dini ni hawa:
..........Lakini wakaja baada yao walio wabaya, wakaacha sala, na wakafuata matamanio (ya kilimwengu). Basi watakuja kupata malipo ya ubaya. Quran: Maryam: 59.

Nabii wa mwisho kwa Waislaam ni MUHAMMAD S.A.W !

...........Hao Manabii (Mwingira, JKB, Ndege, Kakabe, Vernon, Flora, TB Joshua na wengineo), sie Waislaam tunawaona kuwa ni "ZE COMEDY"

Ndo ukweli wako huo!
 
TIB=Tanzania Investment Bank. What feasibility study did the Bank carry out before deciding to lend public money to a preacher?
 
Ndo ukweli wako huo!
Ni Quran, surat Maryam;48 mpaka 58, wanatajwa Mitume wa ukweli ! Hakuna Mwingira wala Fernandes, na Quran, surat Maryam: 59 inasema wale watu wabaya waliopotoka wameacha sala na kufuata matamanio ya dunia, ndio maana makanisa ya Kilokole hakuna kusali bali ni kutoana mapepo na ahadi za mali, pesa na raha za dunia (matamanio !) .............. utaelewa tuu!
 
Kwanini tuiamini Koran?
 
Nasikia hata Mwenyekiti wa chama fulani cha siasa aliwahi kutumia mbinu za Fernandes, sijui na yeye kisha lipa?
 
Jibu swali kwanini tuiamini Koran? Usilete michezo yako ya kuigiza..kaa huezi kujibu, take a hike, usipoteze muda wangu.
asie amini ni kafiri kama wewe ulivyo ! Na walikuwepo wengi tuu kabla yako, kama vile watu wa Nuhu. Huwezi kuwapita hao kwa kiburi na ukafiri !
 
Back
Top Bottom