Mbwana Samatta atajwa kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora Afrika 2016

kichuya munampa sifa asizostahiki,na mechi zenu mnazopata penati za makusudi toka kwa mabeki,wakienda kuchezea stars wanarukaruka
Ata messi anaonea wenzake akiwa BARCELONA lakin akikanyaga ARGENTINA anakuwa kama 'bwabwa' SO ACHA WATU WAMSIFIE KICHUYA.
 
huyo kichuya mnavomkuza,kisa kamfunga yanga..acheni ujinga,ajibu mchezaj,ila umri umeenda,mvivu na anaonekana mtu wa kilevi
Dogi hajawahi hata kuiletea ndoo timu yake... Washaanza kumkuza....!

Afikie kwanza mafanikio ya kaka zake akina Ngassa baada ya hapo ndio aanza kuwaza nje.
 
Back
Top Bottom