Mbunge wangu Mwigulu Nchemba njoo jimboni - spesho kwa wanairamba Magharibi

Mbona niko Iramba mpaka sasa au siku hizi Iramba iko humu jamvin. Ndg yangu ungenialika jamvini maana jimbon nilishakuja mara tu baada ya bunge. Pia kwa kuwa ni maalumu kwa wanairamba narudia tena sio muda mwafaka kwa mtu yeyote anayeipenda iramba kujadili uchaguzi wa2015 muda huu. Kwa sasa tujadili mi utekelezaji na mipango ya maendeleo kwenye sekta mbalimbali. Kuhuusu 2015 wanairamba watatoa majibu. Mimi sina hofu nasema tena kama CCM ITAPATA JIMBO MOJA TU 2015 BASI ITAKUWA IRAMBA.AJE YEYOTE CDM MNAYEMWAMINI ILI KUSIWEPO KISINGIZIO. NITAFANYA KAMPENI SIKU TATU TU.
"Chemical Ali"
 
Mkuu ni vizuri kujiamini hivi lakini, mamneo yako sio mazuri sana!
 
Mtayarishieni wake za makada wa CCM atakuja fasta, maana huo ndio ugonjwa wake!
 
huwa watanzania tunakuwa na busara sana na majuto pale mambo yanapokuwa mabaya..mara nyingi tunakuwa sio wasikivu na haya ndo madhara yake...tunachagua rangi na kwa kuwa tunapewa pilau na tshirt..lakini madhara yake ndo haya sasa...
 
Back
Top Bottom