Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro.

Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake.
Taarifa zaidi zitakujia baadae.
Hakuna alie salama..!!

---

Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amenusurika kuuawa baada ya watu wasiojulikana kuliahambulia gari lake kwa risasi mapema leo jioni hii.

Baadhi ya mashuhuda waliokuwepo katika eneo hilo wameeleza kwamba walisikia milio ya risasi ikishambulia gari hilo kabla ya washambuliaji kutokomea kusikojulikana.

Taarifa za uhakika kutoka Simanjiro zinaeleza kwamba mbunge huyo pamoja na dereva wake wote wamenusurika baada ya gari lao kushambuliwa kwa risasi wakati wakiwa jimboni humo.

Soma pia > CCM imuadhibu Ole Sendeka kwa kuvamia mashamba na kuharibu amani
Lazima yeye na dereva wake wahojiwe kuhusu shambulizi hilo ili tuone kama kuna nia ya uhalifu.
 
Wengine tutakuwa busy kuwawajibisha mlilokosa chembe ya utu duniani.

Tusipangiane!
Kwani mbinguni Allah atakua anapangia watu kazi?

Ya dunia tutayaacha huku na watesi wote watakua kule kujibu dhambi zao

ILA wewe mtakatifu utakua na mabikira sabini
 
Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro.

Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake.
Taarifa zaidi zitakujia baadae.
Hakuna alie salama..!!

---

Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amenusurika kuuawa baada ya watu wasiojulikana kuliahambulia gari lake kwa risasi mapema leo jioni hii.

Baadhi ya mashuhuda waliokuwepo katika eneo hilo wameeleza kwamba walisikia milio ya risasi ikishambulia gari hilo kabla ya washambuliaji kutokomea kusikojulikana.

Taarifa za uhakika kutoka Simanjiro zinaeleza kwamba mbunge huyo pamoja na dereva wake wote wamenusurika baada ya gari lao kushambuliwa kwa risasi wakati wakiwa jimboni humo.

Soma pia > CCM imuadhibu Ole Sendeka kwa kuvamia mashamba na kuharibu amani
Hakuma kitu hapo. Sendeka msanii sana. Polisi wachunguze vizuri hilo tukio.

Ametengeneza tukio hilo ili ku divert attention baada ya kijana wake kupigwa jela miaka 10 kwa kosa la kumpiga mtu ridasi akiwa kwenye shamba analojaribu kutapeli.

Tukio lile liliua harakati za Sendeka za kutaka kutapeli shamba hilo. Ametengeneza tukio hilo ili ionekane anaotaka kiwapora shamba wapo nyima ua tukio.

Sendeke jipumbavu fulani ambalo hata likipewa akili bure halitajua jinsi ya kuzitumia.
 
Kwani mbinguni Allah atakua anapangia watu kazi?

Ya dunia tutayaacha huku na watesi wote watakua kule kujibu dhambi zao

ILA wewe mtakatifu utakua na mabikira sabini

1. Za mabikira hizo Imani zenu.

2. Ya kuwa ya duniani yatakuwa yamebaki duniani pia Imani zenu.

3. Ila wengine Imani zetu ni kuwa kila baya kwa Mola litalipwa.

4. Hapo #3 ndiyo maana miadi yetu nanyi msiojulikana, tusipomalizana hapa hadi kwa Mola tutakomaa nanyi.
 
Back
Top Bottom